ending1
stringlengths
4
149
ending2
stringlengths
5
156
startphrase
stringlengths
7
179
labels
int64
0
1
split
stringclasses
7 values
Alikuwa mwenye huruma.
Hakuwa mwenye huruma.
Jirani yangu ni shetani.
1
sw
Yeye ni mwenye bidii.
Yeye mvivu.
Mwenzake ni mchwa.
0
sw
Yeye ni mwenye bidii.
Yeye mvivu.
Mwenzake ni chura chini ya kisima.
1
sw
Somo hilo linaeleweka.
Somo hilo halieleweki.
Somo la hesabu ni mchana wa mwanga.
0
sw
Somo hilo linaeleweka.
Somo hilo halieleweki.
Somo la hesabu ni usiku wa giza.
1
sw
Yeye ni mvumilivi.
Yeye si mvumilivu.
Kijana yule ni mtumwa.
0
sw
Yeye ni mvumilivi.
Yeye si mvumilivu.
Kijana yule ni mtoto mchanga aliye na njaa.
1
sw
Nguo zake zinanuka vizuri.
Nguo zake zina uvundo.
Nguo zake ni kama marashi ya karafuu.
0
sw
Nguo zake zinanuka vizuri.
Nguo zake zina uvundo.
Nguo zake ni kama kidonda.
1
sw
Nampenda sana.
Namchukia sana.
Yule ni mboni ya jicho langu.
0
sw
Nampenda sana.
Namchukia sana.
Yule ni sumu.
1
sw
Yule amekamilika.
Yule sio kamili.
Mwanasoka yule ni nyota.
0
sw
Yule amekamilika.
Yule sio kamili.
Mwanasoka yule ni mwezi mpevu.
1
sw
Kitabu hiki ni kipya.
Kitabu hiki ni cha zamani.
Kitabu hiki ni kipya kama mwanzo wa siku.
0
sw
Kitabu hiki ni kipya.
Kitabu hiki ni cha zamani.
Kitabu hiki ni kipya kama milima.
1
sw
Urafiki wao ni wa amani na upendo.
Urafiki wao ni wa vita na vurugu.
Urafiki wao ni kama wa chanda na pete.
0
sw
Urafiki wao ni wa amani na upendo.
Urafiki wao ni wa vita na vurugu.
Urafiki wao ni kama wa mbwa na paka.
1
sw
Yeye ni safi.
Yeye ni chafu.
Yeye ni filimbi.
0
sw
Yeye ni safi.
Yeye ni chafu.
Yeye ni nguruwe.
1
sw
Mama wa kambo ni mzuri.
Mama wa kambo ni mbaya.
Mama wa kambo amekuwa njiwa.
0
sw
Mama wa kambo ni mzuri.
Mama wa kambo ni mbaya.
Mama wa kambo amekuwa mamba.
1
sw
Mambo yake ni wazi sana.
Mambo yake ni fiche sana.
Mambo yake ni kioo.
0
sw
Mambo yake ni wazi sana.
Mambo yake ni fiche sana.
Mambo yake ni giza.
1
sw
Yule ni mtulivu.
Yule ni mwenye hamaki.
Mtoto yule ni bahari.
0
sw
Yule ni mtulivu.
Yule ni mwenye hamaki.
Mtoto yule ni mkizi.
1
sw
Mvua inanyesha sana leo.
Jua linachoma sana leo.
Siku ya leo ni kama chemichemi.
0
sw
Mvua inanyesha sana leo.
Jua linachoma sana leo.
Siku ya leo ni kama Kalahari.
1
sw
Yule ni muaminifu.
Yule ni msaliti.
Mwajiriwa yule ni mtume.
0
sw
Yule ni muaminifu.
Yule ni msaliti.
Mwajiriwa yule ni Yuda Iskariote.
1
sw
Maumivu yangu ni chungu sana.
Maumivu yangu si chungu.
Maumivu ni shoka linalokata moyo wangu.
0
sw
Maumivu yangu ni chungu sana.
Maumivu yangu si chungu.
Maumivu ni muziki mzuri kwa roho yangu.
1
sw
Chai hii ni baridi sana.
Chai hii ni moto sana.
Chai hii ni baridi kama kifo.
0
sw
Chai hii ni baridi sana.
Chai hii ni moto sana.
Chai hii baridi kama volkano.
1
sw
Mjomba amefurahi sana.
Mjomba amekasirika sana.
Mjomba amefurahi kama ndege katika chemchemi.
0
sw
Mjomba amefurahi sana.
Mjomba amekasirika sana.
Mjomba amekasirika kama fahali mwenye kitambaa usoni.
1
sw
Uhusiano wao umejaa amani.
Uhusiano wao umejaa mzozo.
Uhusiano wao ni kama mapema ya majira ya joto.
0
sw
Uhusiano wao umejaa amani.
Uhusiano wao umejaa mzozo.
Uhusiano wao ni kama kimbunga.
1
sw
Kalamu hizi zinafanana.
Kalamu hizi ni tofauti.
Kalamu hizi ni kama mbaazi mbili kwenye ganda.
0
sw
Kalamu hizi zinafanana.
Kalamu hizi ni tofauti.
Kalamu hizi ni kama majira ya baridi na majira ya joto.
1
sw
Ilikuwa na furaha na kijamii.
Ilikuwa na huzuni na changamoto.
Maisha ni sherehe.
0
sw
Ilikuwa na furaha na kijamii.
Ilikuwa na huzuni na changamoto.
Maisha ni uwanja wa vita.
1
sw
Wao ni waaminifu.
Wao ni wasaliti.
Wao ni mbwa.
0
sw
Wao ni waaminifu.
Wao ni wasaliti.
Wao ni panya.
1
sw
Viatu vyake vina harufu nzuri.
Viatu vyake vina harufu mbaya.
Viatu vya baba ni manukato.
0
sw
Viatu vyake vina harufu nzuri.'
Viatu vyake vina harufu mbaya.
Viatu vya baba ni takataka.
1
sw
Usiku wa leo anga ina nyota nyingi.
Usiku wa leo anga ni tupu, haina nyota.
Usiku wa leo anga ni blanketi la nyota.
0
sw
Usiku wa leo anga ina nyota nyingi.
Usiku wa leo anga ni tupu, haina nyota.
Usiku wa leo anga ni kanisa siku ya juma.
1
sw
Yeye ni mkarimu na mwenye upendo.
Yeye si mkarimu na mwenye upendo.
Msichani yule ni waridi kati ya miiba.
0
sw
Yeye ni mkarimu na mwenye upendo.
Yeye si mkarimu na mwenye upendo.
Msichana yule ni mwiba kati ya waridi.
1
sw
Kiti hiki kina nguvu.
Kiti hiki ni dhaifu.
Kiti hiki ni mwamba katika dhoruba.
0
sw
Kiti hiki kina nguvu.
Kiti hiki ni dhaifu.
Kiti hiki ni mtoto wa paka.
1
sw
Ilikuwa na watu wengi na kelele nyingi.
Ilikuwa kimya.
Sherehe hiyo ilikuwa mbuga ya wanyama.
0
sw
Ilikuwa na watu wengi na kelele nyingi.
Ilikuwa kimya.
Sherehe hiyo ilikuwa wimbo uliosahaulika.
1
sw
Mtihani ulikuwa rahisi.
Mtihani ulikuwa ngumu.
Mtihani ulikuwa upepo.
0
sw
Mtihani ulikuwa rahisi.
Mtihani ulikuwa ngumu.
Mtihani ulikuwa gunia tupu kusimama wima.
1
sw
Hadithi hiyo ni ya mwanzo.
Hadithi hiyo ni ya mwisho.
Hadithi hiyo ni kama kilio cha mtoto kuzaliwa.
0
sw
Hadithi hiyo ni ya mwanzo.
Hadithi hiyo ni ya mwisho.
Hadithi hiyo ni kama kifo.
1
sw
Miti hii inazaa matunda.
Miti hii haizalishi matunda.
Miti hii ni kama jua.
0
sw
Miti hii inazaa matunda.
Miti hii haizalishi matunda.
Miti hii ni kama mvua ya msimu wa baridi.
1
sw
Kijana yule alikula kwa pupa.
Kijana yule alikula bila haraka.
Kijana yule ni fisi.
0
sw
Kijana yule alikula kwa pupa.
Kijana yule alikula bila haraka.
Kijana yule ni panya.
1
sw
Mambo yake ni wazi sana.
Mambo yake si wazi.
Mtoto huyu ni sahani.
0
sw
Mambo yake ni wazi sana.
Mambo yake si wazi.
Mtoto huyu ni nyoka kwenye nyasi.
1
sw
Huwa haguswi na mambo kupita kiasi.
Huwa anaguswa na mambo kupita kiasi.
Yule msichana ni mtulivi kama mashamba ya Mbinguni.
0
sw
Huwa haguswi na mambo kupita kiasi.
Huwa anaguswa na mambo kupita kiasi.
Yule msichana ni malkia wa drama.
1
sw
Nyumba hii ni imara.
Nyumba hii si imara.
Nyumba hii ni kama dunia.
0
sw
Nyumba hii ni imara.
Nyumba hii si imara.
Nyumba hii ni kama mawimbi ya bahari.
1
sw
Simu hii ni muhimu.
Simu hii haina maana.
Simu hii ni kama ng’ombe.
0
sw
Simu hii ni muhimu.
Simu hii haina maana.
Simu hii ni kama bunduki bila kichochezi.
1
sw
Mtu huyu anajulikana.
Mtu huyu ni wa ajabu.
Mtu huyu ni kama jua na mwezi.
0
sw
Mtu huyu anajulikana.
Mtu huyu ni wa ajabu.
Mtu huyu ni kama kama harusi bila bwana harusi.
1
sw
Amejaa upendo.
Amejaa chuki.
Yeye ni sauti ya mama.
0
sw
Amejaa upendo.
Amejaa chuki.
Yeye ni kifo.
1
sw
Mwanafunzi huyu ni mwenye heshima
Mwanafunzi huyu ni mfidhuli.
Mwanafunzi huyu ni nta.
0
sw
Mwanafunzi huyu ni mwenye heshima
Mwanafunzi huyu ni mfidhuli.
Mwanafunzi huyu ni dubu.
1
sw
Kijiti hiki kimenyooka.
Kijiti hiki kimepinda.
Kijiti hiki ni kama nyota ya risasi.
0
sw
Kijiti hiki kimenyooka.
Kijiti hiki kimepinda.
Kijiti hiki ni kama mitaa ya Boston.
1
sw
Mtu huyo alikuwa na nywele nyingi.
Mtu huyo alikuwa na upara.
Mtu huyo alikuwa gorila.
0
sw
Mtu huyo alikuwa na nywele nyingi.
Mtu huyo alikuwa na upara.
Mtu huyo alikuwa yai.
1
sw
Mzigo hii ni nyepesi sana.
Mzigo hii ni nzito sana.
Mzigo hii ni kama manyoya.
0
sw
Mzigo hii ni nyepesi sana.
Mzigo hii ni nzito sana.
Mzigo hii ni kama nanga.
1
sw
Kitoto chake ni safi.
Kitoto chake ni kichafu.
Kitoto chake ni kama pini mpya.
0
sw
Kitoto chake ni safi.
Kitoto chake ni kichafu.
Kitoto chake ni kama nguruwe.
1
sw
Mayai haya ni matamu.
Mayai haya ni machungu.
Mayai haya ni asali.
0
sw
Mayai haya ni matamu.
Mayai haya ni machungu.
Mayai haya ni ndimu.
1
sw
Aliongea kwa adabu.
Aliongea kwa jeuri.
Alikuwa kama nta.
0
sw
Aliongea kwa adabu.
Aliongea kwa jeuri.
Alikuwa kama dubu.
1
sw
Alikuwa msichana mpweke.
Alikuwa msichana maarufu.
Alikuwa kama meli iliyoachwa.
0
sw
Alikuwa msichana mpweke.
Alikuwa msichana maarufu.
Alikuwa kama tamthilia ya filamu.
1
sw
Mlango ulikuwa na kufuli.
Mlango ulikuwa wazi.
Mlango ulikuwa kama mshipi wa chuma.
0
sw
Mlango ulikuwa na kufuli.
Mlango ulikuwa wazi.
Mlango ulikuwa kama ghuba.
1
sw
Meza iliyonunuliwa ilikuwa maridadi.
Meza iliyonunuliwa ilikuwa mbaya.
Meza ilikuwa kama yungiyungi.
0
sw
Meza iliyonunuliwa ilikuwa maridadi.
Meza iliyonunuliwa ilikuwa mbaya.
Meza ilikuwa kama gome la mwaloni.
1
sw
Walikuwa marafiki wazuri.
Walikuwa maadui.
Hao ni ulimi na meno.
0
sw
Walikuwa marafiki wazuri.
Walikuwa maadui.
Hao ni maji na mafuta.
1
sw
Mtoto yule amefurahi.
Mtoto yule amehuzunika.
Mtoto yule ni kibogoyo aliyeota Meno.
0
sw
Mtoto yule amefurahi.
Mtoto yule amehuzunika.
Mtoto yule ni mfiwa.
1
sw
Ngozi yake ni laini.
Ngozi yake ni ngumu.
Ngozi yake ni hariri.
0
sw
Ngozi yake ni laini.
Ngozi yake ni ngumu.
Ngozi yake ni mawe
1
sw
Wazazi wangu hawasahau kamwe.
Wazazi wangu ni wasahaulifu.
Wazazi wangu ni kama ndovu.
0
sw