output
stringlengths 1
116k
| instruction
stringlengths 2
7.01k
| lang
stringclasses 10
values | id_overall
int64 0
29.8k
| language
stringclasses 11
values |
---|---|---|---|---|
chakula ni kitu ambacho mwanadamu hukiingiza mwilini kwa njia ya mdomo. chakula kina virutubisho vinavyo ujenga mwili na kuupa nguvu. kuna aina mbalimbali za vyakula. vyakula vya mafuta, wanga, vitamini, protini na madini. mtu anahitaji chakula kwaajili ya kuupa mwili nguvu, lakini pia ili mtu aweze kuongezeka na kukua anahitaji chakula. | chakula ni nini kwa mwanadamu? | swh | 29,700 | Swahili |
Maziwa hutumiwa kama dawa ya mtu aliyeathiriwa na sumu. Maziwa huongeza madini chuma na protein mwilini. Maziwa ni muhimu kwa meno na mifupa ya mtoto. Maziwa ni muhimu kwa mtoto. | Maziwa ni dawa | swh | 29,701 | Swahili |
Zipo njia nyingi za kuandaa kachumbari, hapa nitakueleza njia ya kuandaa kachumbari ya nyanya, moja uwe na maji safi na kisu na chombo kama bakuli kwa ajili ya kuandaa, pili chukua kitunguu maji, hoho, karoti, na kabichi, osha na naya katakata vipande vyembamba kwa vyote tajwa hapo juu kisha, weka kwa kuchanganya katika sahani hiyo na changanya vyote, kisha tia chumvi kidogo. Kwa ajili ya kuleta ladha, hapo kachumbari yako tayari, unaweza kuweka pilipili kama unapenda kutumia | Namna ya kuandaa kachumbari, | swh | 29,702 | Swahili |
Tanga kisamvu kikilainika weka maji jikoni yapate moto tia kisamvu kikichemka tia chumvi kikiiva weka viungo vyako vyote Kuna Nazi kamua tui lakwnza na la pili weka tayari kisamvu Kwa kula | Kupika kisamvu | swh | 29,703 | Swahili |
Uchungaji katika makanisa ya kisabato uwekewa kipaumbele | Uchungaji ni wito | swh | 29,704 | Swahili |
umri ni suala nyeti na muhimu kuzingatia katika habari ya uchaguzi wa mwenzi lakini siyo kigezo kinachofaa kupewa kipaumbele cha kwanza | Je kigezo cha umri katika suala la kuchagua mwenzi kina umuhimu wowote? | swh | 29,705 | Swahili |
namna ya kuandaa wali wenye viungo mchanganyiko kwanza kabisa naanda mchele naandaa maji kwa ajili ya kuoshea na kupikiabaada ya hapo naanda mafuta chumvi vyombo vya kupikia jiko la kupikia viungo kama vile kitunguu maji kitunguu saum karot binzary nyembamba pamoja na unga wa pilau baada ya hapo chakula tayari | jinsi ya kupika pilau | swh | 29,706 | Swahili |
Mahubiri mazuri huwa na vitu vifuatavyo, utangulizi, shukrani, mwanzo, kiini au ujumbe, hitimisho, na wito, hubiri linaweza kuzingatia kulingana na hadhira ya wasikilizaji | Maburi mazuri huwa na vitu gani? | swh | 29,707 | Swahili |
nafaka ni mazao ya mbegumbegu, kama vile mahindi, maharagwe, mtama, uwere, ngano, ulezi, kunde, njegere, mbaazi, na choroko n.k
nafaka ni chakula bora kwaajili ya afya ya mwanadamu. | nafaka ni nini? | swh | 29,708 | Swahili |
Meno kinywani (au meno ya kunywa) ni sehemu ya mfumo wa utumbo wa mnyama inayohusika na mchakato wa kwanza wa kumeng'enya chakula. Faida kuu ya meno kinywani ni kuanza kuvunjavunja chakula kwa vipande vidogo ili kufanya iwe rahisi kumezwa na mchakato wa kumeng'enya utakapofanyika vizuri katika sehemu nyingine za utumbo. Hii husaidia kuanzisha mchakato wa kugawa virutubisho kutoka kwa chakula ili mwili uweze kuvitumia kwa ajili ya nishati na ukuaji | Faida ya meno kinywani | swh | 29,709 | Swahili |
Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu. Uadilifu ni neno moja linalounganisha maneno mawili, maadili na miiko. wakati ambapo mtu mwenye maadili anatazamiwa kuwa mtu mwenye tabia njema, hali kadhalika miiko humaanisha utaratibu flani ulioweka kwaajili ya kulinda maadili. mtu mwadilifu huwa mtu mwenye tabia njema na asiyekwenda kinyume na miiko ya mahali flani. mfano. kila mahali pana taratibu zake, mtu mwadilifu atajulikana kwa kufanya kile kinachopaswa katika mazingira hayo. | Uadilifu ni nini? | swh | 29,710 | Swahili |
Kumbuka kwamba kujifunza lugha ni mchakato wa taratibu, na uboreshaji huchukua muda. Kuwa mvumilivu kwako mwenyewe, kuwa na motisha, na usisite kutafuta usaidizi kutoka kwa walimu au wakufunzi ikihitajika. | Inagharimu nini kujua lugha vizuri? | swh | 29,711 | Swahili |
gari ni muhimu sana maana hurahisisha usafiri pia huokoa Muda popote pale uendapo. kumiliki gari ni jambo zuri sana maana mtu hufika popte aendapo kwa wakati. | Je gari ni muhimu? | swh | 29,712 | Swahili |
Kufanya vyema katika Kiswahili, kama somo lingine lolote, kunahitaji kujitolea. Ifuatavyo baadhi ya hatua muhimu ambazo wanafunzi wanaweza kuchukua ili kufaulu katika Kiswahili:
Kusoma mara kwa mara: Kusoma ni muhimu katika kuboresha ujuzi wa Kiswahili. Soma nyenzo mbalimbali kama vile vitabu, magazeti, majarida na makala za mtandaoni. Chagua mada zinazokuvutia ili kufanya usomaji kufurahisha.
Kupanua Msamiati: Msamiati utajiri ni muhimu kwa mawasiliano bora. Jifunze maneno mapya kila siku na uyatumie katika sentensi. Cheza michezo ya maneno na utumie programu za kuunda msamiati ili kufanya kujifunza kufurahisha.
Sarufi na Kuandika: Fanya mazoezi ya kanuni za sarufi na muundo wa sentensi. Andika insha, hadithi, au maigizo ya jarida mara kwa mara. Kagua maandishi yako kwa makosa na ufanyie kazi kuyaboresha.
Kuzungumza na Kusikiliza: Shiriki katika mazungumzo kwa Kiswahili kila inapowezekana. Jiunge na vilabu au vikundi vinavyozungumza Kiswahili. Sikiliza podikasti, tazama filamu na ufuate matangazo ya habari ya Kiswahili ili kuboresha ustadi wa kusikiliza.
Tafuta Maoni: Shiriki kazi yako ya maandishi au ya kuzungumza na walimu, wenzao, au wakufunzi. Maoni yenye kujenga hukusaidia kutambua maeneo ya kuboresha.
Weka Malengo: Bainisha malengo wazi ya ujuzi wako wa lugha ya Kiswahili. Iwe ni kufikia kiwango fulani cha ustadi au kufaulu mtihani, kuwa na malengo hukupa motisha.
Fasihi ya Kusoma: Ikiwa unasoma fasihi ya Kiswahili, soma na uchanganue fasihi ya zamani na ya kisasa. Elewa mada, wahusika, na mbinu za kifasihi zinazotumiwa na waandishi.
Mazoezi ya Mitihani: Ikiwa unajitayarisha kwa mitihani ya Kiswahili, fanya majaribio ya mazoezi ili kujifahamisha na umbizo na vikwazo vya muda.
Programu na Kozi za Lugha: Zingatia kutumia programu za kujifunza lugha au kujiandikisha katika kozi za Kiswahili ili kupata mwongozo uliopangwa na mazoezi ya mazoezi.
Kaa Thabiti: Uthabiti ni ufunguo wa uboreshaji wa lugha. Tenga wakati uliojitolea kila siku kwa ajili ya kusoma, kuandika, na kufanya mazoezi.
Jifunze kutokana na Makosa: Usiogope kufanya makosa. Kujifunza kutokana na makosa yako ni sehemu muhimu ya ukuzaji wa lugha.
Jijumuishe: Ikiwezekana, tumia muda katika mazingira ya watu wanaozungumza Kiswahili, iwe kwa kusafiri, kusoma nje ya nchi, au programu za kuzamishwa.
Tumia Rasilimali za Kiswahili: Tumia fursa ya nyenzo za mtandaoni, kamusi, na zana za kukagua sarufi.
Elewa Aina Tofauti za Kiswahili: Kiswahili kinazungumzwa tofauti katika maeneo mbalimbali. Jijulishe na tofauti za lafudhi na misemo ya nahau.
Endelea Kujua: Fuatilia matukio ya sasa, masuala ya kijamii na mada za kitamaduni katika nchi zinazozungumza Kiswahili. Hii itakusaidia kushiriki katika mazungumzo yenye maana. | Mwanafunzi lazima afanye nini ili afanye vizuri katika somo la Kiswahili? | swh | 29,713 | Swahili |
biblia ni kitabu kitakatifu kinachotumiwa na wakristo kama msingi wa imani yao. biblia ina sehemu mbili ambazo ni agano la kale na agano jipya. biblia pia ina vitabu 66. kwa ujumla biblia ni kitabu chenye ukweli kuhusu wokovu wa maisha ya mwanamu. biblia inaeleza kisa cha ukombozi cha Yesu Kristo. biblia iliandikwa na watu takribani arobaini kwa nyakati tofauti na katika mazingira tofauti. wengine wao walikuwa wakulima, wafugaji wa kondoo, wavuvi wa samaki, madaktari na wasomi wa dini yankiyahudi kama vile Paulo. biblia ni kitabu ambacho mtu yeyote akikisoma atapata tumaini jipya, hasa tumaini la uzima wa milele. | biblia ni nini? | swh | 29,714 | Swahili |
unawasha moto, unaweka maji kwenye sufuria, unasubiri maji yachemke. maji yakisha chemka, unachukua unga unaweka kwenye maji yaliyo chemka. baada ya hapo unachanya maji na unga kwa kutumia mwiko.
changanya mpaka unga uishe kabisa, baada ya hapo ugali uko tayri. asante! | jinsi ya kupika ugali | swh | 29,715 | Swahili |
Chakula ni kitu chochote kinacho liwa na wanadamu. Kuna vikundi tatu vya chakula. Kuna vyakula vikuu au kabohidrati, vyakula kama mahindi, mchele, mihogo vipo katika kikundi hiki. Kikundi kingine ni vyakula vya kukuza au protini, katika kikundi hiki kuna vyakula kama nyama, samaki, njungu na mbegu. Kikundi cha tatu ni vyakula vilinzi au vitamini, matunda na mboga hupatikana katika kikundi hiki. | Chakula ni nini? | swh | 29,716 | Swahili |
kwa mujibu wa maandiko matakatifu kama wanavyoamini waumini wote wa Kikristo, uzinzi siyo harali, lakini siyo kwa wakristo pekee, hata waumini wa kiislamu hawakubaliani na masuala la uasherati na uzinzi. Kwa mantiki hiyo, uasherati na uzinzi siyo harali katika jamii yeyote. | je uashereti na uzinzi ni harali katika jamii? | swh | 29,717 | Swahili |
Sanaa ina mchango mkubwa sana katika jamii na utamaduni wetu. Inatuunganisha na hisia, maono, na mawazo ya watu wengine, ikileta pamoja tamaduni tofauti na kutoa jukwaa la kuelezea hisia zetu na kushiriki uzoefu wetu. Sanaa inaweza kuwa chanzo cha burudani, kutafakari, na kuelimisha. Pia, inaweza kutumika kama zana ya kuleta mabadiliko na kuibua mjadala katika masuala muhimu kijamii na kisiasa. Kwa hivyo, sanaa ni njia muhimu ya kushirikiana na kuelimisha jamii yetu, na ina jukumu muhimu katika kuunda utambulisho wetu wa kitamaduni | Sanaa ina mchango gani? | swh | 29,718 | Swahili |
Kuwa msafi na nadhifu kunaweza kufanikishwa kwa kuzingatia utaratibu wa kila siku wa usafi binafsi. Kuanzia kujisafisha mwili kwa kutumia sabuni na maji, kusafisha meno mara mbili kwa siku, na kubadilisha nguo za ndani na nguo za nje mara kwa mara. Pia, kudumisha nywele safi na maridadi ni muhimu. Usisahau kucha, mikono, na miguu. Kwa kuongezea, kuweka mazingira yako safi na kupanga vitu vyako kwa utaratibu ni njia nyingine ya kuonyesha nadhifu. Kuwa msafi na nadhifu si tu kwa afya bora, lakini pia huleta hisia nzuri na kujiamini | Namna ya kuwa msafi na nadhifu | swh | 29,719 | Swahili |
Kitawe ni neno lenye maana zaidi ya moja. Mfano mmoja wa kitawe ni saa. Saa ina maana mbili. Ya kwanza ni kutumia saa kumaanisha wakati, mfano katika sentensi 'Kuna saa ishirini na nne katika siku nzima'. Ya pili ni kutumia saa kama chombo ambacho hutuonyesha wakati. | Kitawe ni nini? | swh | 29,720 | Swahili |
Pambo (wingi mapambo) ni kitu kinachotumiwa kuongeza urembo na uzuri. Mapambo huvaliwa kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Mifano ya mapambo ni kama pete, bangili, mkufu, kipuli na kadhalika. | Pambo ni nini? | swh | 29,721 | Swahili |
Unapenda kuwa mwimbaji.? Hapa kuna mambo ya kuzingatia, moja sikiliza kazi za waimbaji wenzako walizo zifanya, mbili tumia mda wako kufanya mazoezi ya kuimba tatu pambana kufikia kazi yako nne tafuta watu wa kupe ushauri juu ya uimbaji wa sasa | Nataka kuwa mwimbaji nifanyeje? | swh | 29,722 | Swahili |
Jibu ni, Ndiyo, Ellen ana mume. | Based on the following text snippet, Je, Ellen ana mume?
Mary Harris Mama Jones (30 Novemba 1930) alikuwa mzaliwa wa Ireland na baadae akawa Mmarekani mwalimu wa shule na mtengeneza mavazi, akawa maarufu na kupangwa mwakilishi wa taasisi za kazi na mipango jamii. Yeye alisaidia kuratibu migomo mikubwa na mwanzilishi wa Wafanyakazi wa Viwanda Duniani.
Jones alifanya kazi kama mwalimu na mtengeneza mavazi, lakini baada ya mume wake na watoto wanne wote kufariki kwa homa ya manjano mnamo mwaka 1867 na duka lake la mavazi liliharibiwa na moto mkubwa, Chicago mwaka 1871, yeye alianza kufanya kazi kama mratibu kwa ajili ya Knights wa Kazi na Umoja wa Mgodi na Wafanyakazi wa muungano. Kutoka 1897, alikuwa na umri wa miaka 60, yeye alikuwa anajulikana kama Mama Jones. Mwaka 1902 alijulikana na kuitwa "mwanamke hatari katika Amerika" kwa ajili ya mafanikio yake katika maandalizi ya mgodi na wafanyakazi na familia zao dhidi ya wamiliki wa migodi. Mwaka 1903, na maandamano ya lax utekelezaji wa mtoto na sheria za kazi katika Pennsylvania migodi na hariri mills, yeye alipanga "watoto machi" kutoka Philadelphia nyumba ya Rais Theodore Roosevelt kuelekea (Marekani) New York.
Mwanzo wa maisha yake
Mary Harris Jones alizaliwa upande wa kaskazini wa mji wa Cork, Ireland, binti wa Roman Katoliki mpangaji wakulima Richard Harris na Ellen (nee Cotter) Harris. Yake halisi tarehe ya kuzaliwa haifahamiki, alibatizwa tarehe 1 Agosti 1837. Mary Harris na familia yake walikuwa waathirika wa Ukame wa Eire|Njaa Kubwa, kama zilivyokuwa familia nyingine nyingi za Ireland. Hii njaa ilifukuza zaidi mamlilioni ya familia, ikiwa ni pamoja na familia ya Harris, kuhamia Amerika ya Kaskazini. Kutokana na vifo vilivyosababishwa na njaa mkubwa na uhamaji wa familia, idadi ya watu Ireland ilipungua kwa wastani wa 20-25%.
Viungo vya nje
at LibriVox (public domain audiobooks) LibriVox at LibriVox (public domain audiobooks)
at Find a GraveKupata Kaburi at Find a Grave
Jamii:Waliozaliwa 1837
Jamii:Waliofariki 1930
Jamii:Wanaharakati wa Marekani | swh | 29,723 | Swahili |
Maumivu ya kichwa husababishwa na mambo yafuatayo, kutokunywa maji sana, njaa, chakula kukosa tumboni, msongo wa mawazo, tatizo la mwili kama magonjwa mbalimbali | Maumivubya kichwa husababiswa na nini? | swh | 29,724 | Swahili |
Rafiki ana manufaa mengi kwa mtu, ikiwa ni pamoja na:
Kuboresha afya ya akili na mwili: Marafiki wanaweza kutusaidia kupunguza mkazo, kudhibiti hisia zetu, na kuishi maisha marefu na yenye afya.
Kuongeza furaha na kuridhika: Marafiki wanaweza kutufanya tujisikie vizuri, kutufanya tufurahie maisha, na kutusaidia kupata maana katika maisha yetu.
Kutoa msaada na usaidizi: Marafiki wanaweza kutusaidia kupitia nyakati ngumu, kutupa ushauri, na kutufariji.
Kuongeza kujithamini na kujiamini: Marafiki wanaweza kutusaidia kuhisi vizuri kuhusu sisi wenyewe na kutusaidia kufikia malengo yetu.
Kutoa fursa ya kujifunza na kukua: Marafiki wanaweza kutuletea uzoefu mpya na mawazo mapya, kutusaidia kukua kama watu.
| Rafiki ana manufaa gani kwa MTU? | swh | 29,725 | Swahili |
Mmea ni kitu chenye uhai, majani, shina na mzizi aghalabu huwa na rangi ya kijani. Tunda ni zao la mmea linalotokana na ua ambalo huhifadhi mbegu. | Tofauti ya mimea na matunda. | swh | 29,726 | Swahili |
Soma kwa bidiii, weka malengo yako, ng'ang'ania kwa bidii masomo yako, kisha muombe mungu wako akupe uwezo wa kushika na kufikia malengo yako wewe mwenyewe. | Nataka kufikia chuo kikuu nifanyeje? | swh | 29,727 | Swahili |
Bubu ni mtu ambaye hana uwezo wa kuongea na kusikia. Bubu huzungumza kwa kutumia lugha za ishara na anaweza kuelewana na mwenzake anayezijua ishara hizo. Bubu anaweza kupata tatizo hilo kwa kuzaliwa nalo au akalipata ukubwani kama matokeo ya ugonjwa. | Bubu ni nani? | swh | 29,728 | Swahili |
Anaweza kuwa mtu wa karibu na wewe, yaani mama au baba au ndugu wa karibu, au mtu mliye nae kwa mahusiano | Mpenzi | swh | 29,729 | Swahili |
Mjadala ni mazungumzo kati ya watu wawili au zaidi. Ni njia ya kubadilishana habari, kueleza maoni, na kujenga uhusiano. Mjadalainaweza kuwa rasmi au isiyo rasmi, na inaweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile utatuzi wa migogoro, ubunifu, na elimu.
Mfano wa Mjadala rasmi ni mazungumzo kati ya mteja na meneja wa kampuni. Katika dialogue hii, mteja anaelezea shida yake kwa meneja, na meneja anaahidi kumsaidia. | Mjadala ni nini? | swh | 29,730 | Swahili |
Sababu ya shetani kuasi mbinguni ni kuwa yeye alijiinua nafsi na kuona anaweza kumiliki mamlaka yote ya mbinguni na duniani. Hii ilipelekea kuweka mpango ya kumpindua Mungu kutoka katika kiti cha enzi ili yeye aweze kumiliki mamlaka yote. | Kwanini shetani aliasi mbinguni? | swh | 29,731 | Swahili |
Unaweza kupika uji kwa njia nyingi na tofauti, moja kuandaa vitu vifuatavyo
1. Maji
2.unga wa mahindi, muhogo, mtama,ulezi, au mchanganyiko wa vyote
3. Moto na sifuria
Namna ya kuandaa, weka sifuria lako kwa moto hadi maji yachemke kisha koroga ungawako katika maji ya baridi na kumimina kwa naji ambayo yanachemka, kisha koroga hadi uchemke, kisha subiri dk 20 hadi 30 kwa kunywa tayari. Unaweza weka sukari ama asiali kama unapenda | Uji unapikwaje? | swh | 29,732 | Swahili |
ni muhimu kuwa na nguo nyingi maana inasaidia katika kubadilisha mara kwa mara ili kuonekana uko na muonekano mzuri. nguo husitiri mwili wa binadamu, na inampasa mtu awaye yeyote kuvaa nguo za heshima. | je ni muhimu kuwa na nguo nyingi?
| swh | 29,733 | Swahili |
Usafiri wa maji unaweza kutoa huduma nyingi muhimu, kama vile usafirishaji wa mizigo, usafiri wa abiria, na utalii wa majini. Pia unaweza kusaidia katika uvuvi na kutoa njia za kusafiri kwa maeneo ambayo barabara zinaweza kuwa hazipitiki. Kwa hiyo, usafiri wa maji unaweza kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii wa eneo lako. Je, unataka kujua zaidi kuhusu matumizi ya usafiri wa maji katika eneo fulani au kwa kusudi fulani? | Namna gani usafiri wa maji unaweza kutusaidia | swh | 29,734 | Swahili |
Miwani ni kifaa amabacho huvaliwa machoni ili kumuwezesha mtu mwenye matatizo ya macho kuweza kuona. baadhi ya watu hutumia miwani kama urembo, kuzuia vumbi machoni au kuzuia mwanga wa jua. | Miwani | swh | 29,735 | Swahili |
Daftari ni kifaa kinachotumika kuandikia katika masomo, au kuweka kumbukumbu mbali mbali ukiwa darasani kama mwanafunzi au hata mwalimu kuandikia masomo anayoya tayarisha. | Daftari ni nini? | swh | 29,736 | Swahili |
Wahenga walisema mtaka cha uvunguni sharti ainame ,hawaku maanisha uvungu huu wa kitanda au meza.Walicho maanisha ni kwamba ukitaka yaliyo mazuri ni lazima uyafanyie kazi,vizuri haviji hivi hivi,mafanikio yanahitaji mtu ajitoe na afanye kila awezalo kuendelea katika maisha yake.Kwa wengi kuinama kule kuna ashiria kuwa Tayali kujiweka kikamilifu katika kuifanyia kazi Ndoto jako,hata kwa kiasi chakuwa tagari kuamka asubuhi na mapema au kufanya kazi ngumu wakaty mwingine bila muda wa kutosha wa kupumzika.Kuwa tagari siku zote kujitolea and kufanya kazi kwa uadilifu kani hakuna mafanikio ya bure,kila kitu kinahitaji kujitoa na kujituma. | Ukitaka cha uvunguni sharti uiname | swh | 29,737 | Swahili |
Kuna aina nyingi za michezo:
1. Kandanda au Soka au Kipute, kabumbu. Mchezo huu ni wa mpira wa miguu.
2. Riadha. Mchezo huu ni wa aina zote za mbio, kuogelea na kuruka.
3. Gololi. Mchezo huu huchezwa na watoto kwa kutumia vijijiwe duara vya marmaru.
4. Jugwe. Mchezo huu ni wa kuvutana kwa kamba.
5. Gofu. Mchezo unaochezwa kwa kupiga mpira wake kwa kutumia ndoaro.
6. Sataranji. Mchezo wa chesi. | Nipe aina za michezo. | swh | 29,738 | Swahili |
Haya ni mambo ya kuzingatia ili uende mbinguni, moja kushika sheria za mungu yaani amri kumi zake ikiwepo na sabato kutoka 20:1-17. | Nifanyeje ili niende mbinguni? | swh | 29,739 | Swahili |
Namna bora za kukuza lugha ni kwa kujifunza kwa ukawaida, kusoma vitabu vyenye changamoyo, kusikiliza lugha hiyo katika mazungumzo halisi, kuongea na watu wanaoitumia, na kutumia teknolojia kama vile programu za kujifunza lugha na kozi za mtandaoni ili kuboresha ustadi wako wa lugha kwa ufanisi zaidi. | Namna bora ya kukuza lugha | swh | 29,740 | Swahili |
sukari ni kiungo kitamu kitokanacho na zao la miwa. pia ni kiungo kinachotumika katika kupikia chai, juisi na kadhalika | sukari ni nini? | swh | 29,741 | Swahili |
Vita ya maji maji ilianza mwaka 1905 na kumalizika mwaka 1907. Kiongozi wa vita hiyo alikuwa kinjekitele ngwale. Vita ya maji maji ilipigana na wajerumani na chanzo cha vita hiyo ni watanganyika kuchoshwa na utawala wa wajerumani na chanzo cha jina la maji maji ni kiongozi wa watanganyika kuwashawizi washike silaha zao wakisema maji maji. | Chanzo cha vita ya maji maji. | swh | 29,742 | Swahili |
simu za mkononi ni muhimu kwa mawasiliano ya haraka kutokana na shuguli za kibinadamu kuwa nyingi. teknolojia imesaidia sana kuleta simu kwa binadamu hasa katika eneo la kupitisha mawasiliano kiurahisi na kuwezesha biashara mbali mbali za mtandaoni kufanyika kwa wepesi na wanunuzi kununua bidhaa kwa urahisi | je simu ni muhimu kwa mawasiliano? | swh | 29,743 | Swahili |
tatizo la malezi mabaya ni tatizo kubwa ambalo linachangia katika kuharibu familia nyingi, malezi ya wazazi wengi yanachangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta migogoro na kupelekea ndoa nyingine kuwa katika taabu kubwa | je malezi mabaya yanachangia katika kuharibu mahusiano kwa ndoa nyingi leo? | swh | 29,744 | Swahili |
Watu hufa kwa ugonjwa wa moyo kwa sababu zifuatazo. Kwanza, kushindwa kufanya mazoezi kwa mpango sahihi. Pili, kushindwa kula vizuri kwa mpango wa lishe kamili. Tatu, kukaa pahali au kuishi mahali yenye mudundo mkubwa wa mziki. Nne, kupata shinikizo la juu au la chini la damu. | Kwa nini watu hufa kwa ungojwa wa moyo? | swh | 29,745 | Swahili |
Baba ni mzazi wa kiume. Ni mkuu wa familia na kiongozi wa familia. Katika jamii za kiafrika, baba ndiye anaye hudumia familia kwa mahitaji mbalimbali kama vile chakula, mavazi, malazi na mahitaji ya shule kwa watoto. Kwa kawaida baba lazima awe yule anayeweza kuelekeza familia yake kwa maneno na matendo mema kwa manufaa ya jamii kwa jumla. | Ni nani baba? Baba ni nani? Eleza maana ya baba? | swh | 29,746 | Swahili |
kwanza kabisa naanda jiko kwa ajili ya kupikia naandaa maji kwa ajili ya kukandia unga wangano naanda nyama naandaa mafuta nadaa mafuta pamoja na kikaangio baada ya hapo naazkwa kukanda unga nasukuma chapati nyepesi lain baada ya hapo naweka nyama kwenye chapati nanza kukaanga nazitoa jikon tayari kwa kula | njinsi ya kupika sambusa za nyama | swh | 29,747 | Swahili |
ni kweli kwamba mahari ni hitaji lakini siyo kitu kinachofaa kuwekewa mkazo katika suala la mahusiano ya kifamilia, katika baadhi ya ndoa wanawake wamejikuta wakipata manyanyaso makubwa kutoka kwa waume zao wakidai kuwa ni mali zao harali maana waliwanunua kwa kutozwa mahali kubwa. | je ni harali kutaka mahari kubwa kwa wazazi wa binti wakati binti anapohitaji kuolewa? | swh | 29,748 | Swahili |
Kuosha mikono ni hatua muhimu ya usafi ambayo ina faida nyingi. Kuosha mikono kwa sabuni na maji husaidia kuondoa vijidudu na michirizi ya uchafu kwenye mikono, hivyo kupunguza hatari ya kuambukizwa magonjwa ya kuambukiza kama vile mafua, kuhara, na COVID-19. Pia, kuosha mikono kunaweza kuzuia kuenea kwa vijidudu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, kulinda afya ya jamii nzima. Kwa hiyo, kuosha mikono mara kwa mara ni hatua ya msingi ya kuzuia magonjwa na kudumisha afya bora | Faida za kuosha mikono | swh | 29,749 | Swahili |
La | Sentensi ya kwanza: Septemba 22, 1918, mawasiliano ya kwanza ya telegrafu bila waya yalipelekwa Snowdonia kutoka Australia. Kifungu cha 2: Septemba 22, 1918 ujumbe wa kwanza wa telegrafu bila waya kwenda Australia ulitumwa kutoka Snowdonia. Swali: Je, Sentensi ya 1 na Sentensi ya 2 zina maana ileile? Ndiyo au La? | swh | 29,750 | Swahili |
Asali ni muhimu sana kwa binadamu na lina faida nyingi sana kwa matumizi ya kibinadamu. Kwanza, asali ni dawa katika mwili wa binadamu na hutibu magonjwa na maradhi mengi sana. Pia asali hutokana na nyuki. | Asali ina umuhimu kwa binadamu? | swh | 29,751 | Swahili |
kiongozi ni mtu amabaye ana uwezo wa kufanya ushawishi kwa watu ili waweze kufanikisha malengo flanoi yaliyokusudia na kikundi.
kiongozi pia anafanya kazi ya kuanzisha na kuendeleza malengo yaliyowekwa ili kuleta maendeleo ya taasisi husika. | kiongozi ni nani? | swh | 29,752 | Swahili |
Pisi kali ni neno la kiswahili linalomaanisha malaya yaani mtu anaeuza mwili wake ili apate fedha kwa ajili ya kujikimu kimahitaji, wakati mwingine hutumika kama mwanamke au msichana mrembo. | Eleza maana ya pisi kali? | swh | 29,753 | Swahili |
ushairi wa kiswahili ni ufundi katika matumizi ya lugha ya kiswahili ambapo mshairi lazima awe mtaalamu wa kucheza na lugha. lazima atumie lugha katika hali ya ufundi na ustadi | ushairi wa kiswahili | swh | 29,754 | Swahili |
Nanasi ni tunda lenye utamu mzuri, lenye sukari nyingi , na mara nyingi hutumika mara moja tu kwa kutoa tunda moja na huota katika majani yake ambayo yanalitunza hadi kukua kwake | Nanasi huota wapi? | swh | 29,755 | Swahili |
matumizi ya lugha katika ushairi ni jambo muhimu sana kuzingatia kwa mshairi kwani ili mtu awe mshairi lazima awe na uwezo wa kucheza na lugha. ulazima huo unatokana na sababu kwamba matumizi ya lugh katika ushairi yanahitaji uelewa wa vipengele mbalimbali kama vile tamathali za semi na mafumbo, jambo ambalo linahitaji umakini na uelewa usio wa kawaida. | utumiaji wa lugha katika ushairi | swh | 29,756 | Swahili |
Teknolojia inaendelea kubadilika kwa kasi, na imeleta mabadiliko makubwa katika maisha ya watu. Kwa mfano, teknolojia ya habari na mawasiliano imewezesha watu kuwasiliana kwa urahisi na watu kutoka kote ulimwenguni. Teknolojia ya matibabu imesaidia kuokoa maisha ya watu na kuboresha ubora wa maisha. Teknolojia ya nishati imesaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira. Teknolojia ya usafiri imefanya iwe rahisi kwa watu kusafiri kwa umbali mrefu. Teknolojia ya ujenzi imewezesha ujenzi wa miundo mikubwa na ya kisasa.
| Teknolojia inaleta mabadiliko kweli? | swh | 29,757 | Swahili |
Maendeleo ya kiswahili kama lugha ina muhimu katika kukuza na kuhifadhi utamaduni wa kiasili, maarifa na dini katika mikoa inayozungumuza kiswahili barani Afrika. | Maedeleo ya kiswahili kama lugha ina muhimu gani? | swh | 29,758 | Swahili |
Kanisa na msikiti hutumika kama sehemu za maabada. Wafuasi wa dini hukusanyika na kufanya ibada. Ibada zao huhusisha maombi, kuimba na mazungumzo ya kuinuana kumaisha. | Ni nini hasa hufanyika kanisani na katika misikiti mbali mbali katika nchi za kiafrika hasa? | swh | 29,759 | Swahili |
mama ni mzazi wa kike. ni kiongozi wa familia baada ya baba, yeye huchukua uangalizi wa karibu wa watoto pamoja na mume wake. huhusika zaidi na majukumu ya nyumbani kama vile, kuwahudumia watoto na kuwaandaa watoto ili waende shule. yeye ndie anahusika na maswala ya jikoni, yaani kuandaa chakula kwaajili ya wanafamilia. | mama ni nan? | swh | 29,760 | Swahili |
Naandaa shamba Kwa kulima mvua zikinyesha napanda mahindi Kwa mstari yakikua kidogo napalilia palizi a kwanza mvua zikinyesha Tena napalilia palizi a pili nasubiria yakomae tayari Kwa kuvunwa | Jinsi ya kupanda mahindi | swh | 29,761 | Swahili |
Mwanamke mzuri anasifa zifuatazo, tabia ya kuvutia, sura yenye mvuto, maumbile mazuri na mwenekano mzuri kijamii | Mwanamke mzuri | swh | 29,762 | Swahili |
Mtoto ni mtu ambaye ana umri mdogo kuanzia umri wa miaka sifuri hadi miaka kumi na saba. mtoto huwa chini ya uangalizi wa wazazi au walezi, mtoto hawezi kujipatia mahitaji yake kama shule na mavazi. mtoto anahitaji chakula ili akue. | Mtoto | swh | 29,763 | Swahili |
kuna wanyama aina nyingi wapo wa kufugwa na wapolin wanyama wa kufugwa ni kama vile ng'ombe mbuzi mbwa sungura paka na kazalika na kuna wanyama wa poli kama vile swala simba tembe chui nyati mbwa mwitu punda mlia na wengine wengi wanyama hawa kuna baazi hupenda kula majan na kuna wengine huma nyama | kujua aina za wanyama | swh | 29,764 | Swahili |
siyo vema kabisa kwa wazazi kuingilia majukumu ya ndoa kwa kuwachagulia vijana wao marafiki ambao wangetamani kuoana, hii ni hatari kwa sababu kila mmoja anazo sifa bainifu zinazomvutia katika nafsi yake, hivyo ni vema vijana kuachiwa uhuru wa kufanya uchaguzi wenyewe. | je ni vema wazazi kuwachagulia vijana wachumba? | swh | 29,765 | Swahili |
Sijaelewa swali lako, ila kama unauliza juu ya vivutio vya nchi ni pamoja na mbuga za wanyama, maziwa, mito, milima ikiwemo kilimanjaro, na mchanga unao hama | Kunanini nchini tanzania,? | swh | 29,766 | Swahili |
Baridi kali inaweza kuwa na madhara makubwa kwa afya ya binadamu. Kwanza, inaweza kusababisha majeraha kama vile baridi kali inaweza kusababisha kuganda kwa ngozi na kusababisha frostbite. Pia, inaweza kuathiri mfumo wa kupumua na kusababisha magonjwa ya kupumua kama vile kikohozi na mafua. Baridi kali inaweza kusababisha shinikizo la damu kupanda na kuongeza hatari ya magonjwa ya moyo. Aidha, inaweza kuwa hatari kwa watu walio na hali maalum kama vile kisukari au magonjwa ya ngozi. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua tahadhari za kutosha wakati wa baridi kali ili kuepuka madhara haya kwa afya yako | Madhara ya baridi kali | swh | 29,767 | Swahili |
katika uhai wa binadamu hifadhi ya misitu ina umuhimu sana, na leo tuangalie baadhi ya faida za hifadhi ya miti kwa binadamu. kwanza, miti huleta hewa nyingi na safi kwa mazingira ya binadamu. pili, hifadhi za miti huleta tija kibiashara kwa kuzalisha mbao ambazo hutumika kutengeneza viti, meza, nyumba, madirisha na kadhalika. | misitu ina umuhimu gani? | swh | 29,768 | Swahili |
baba ni mzazi wa kiume. ni mkuu wa familia na kiongozi wa familia. katika jamii za kiafrika baba ndiye anaye hudumia familia kwa mahitaji mbalimbali kama vile, chakula, mavazi, malazi na mahitaji ya shule kwa watoto. kwa kawaida baba lazima awe yule anayeweza kuhudumia familia yake. | baba ni nani? | swh | 29,769 | Swahili |
Gari zuri linajumuisha mambo kadhaa ambayo hufanya kuwa chaguo bora la usafiri. Kwanza, linapaswa kuwa na utendaji mzuri wa injini na mfumo wa kuendesha ili kutoa safari salama na yenye utulivu. Pili, gari zuri linapaswa kuwa na muundo wa kuvutia na ubora wa ujenzi ili kuongeza faraja na kujiamini kwa dereva na abiria. Aidha, linaweza kujumuisha teknolojia ya hali ya juu kama vile mfumo wa burudani, usalama, na faraja. Hatimaye, ufanisi wa nishati na utunzaji wa mazingira pia ni mambo muhimu kwa gari zuri katika ulimwengu wa leo unaohitaji kuzingatia mazingira | Gari zuri linahusisha vitu gani? | swh | 29,770 | Swahili |
Kwanza kabisa unatafuta shamba unaandaa pembejeo kwa ajili ya kilimo kama vile trecta ama jembe la kulimia kwa kutumia ng'ombe, unaandaa mbegu, unaandaa mbolea alafu baada ya hapo unapanda mahindi, baada ya mahindi kuota unapalilia, unaweka mbolea ya kukuzia, baada ya hapo unasubiri yakue na kuvuna, ukishavuna unayahifadhi sehemu salama. | Jinsi ya kulima mahindi. | swh | 29,771 | Swahili |
Tanzania ni nchi yenye uongozi bora na amani | Tanzania ni nchi ya amani | swh | 29,772 | Swahili |
siyo salama sana kumiliki mali kwa uficho kwani maisha yanabadilika na lolote laweza kutokea wakati wowote, kwa mujibu wa maandiko matakatifu kama wanavyoamini wakristo, wawili wanapoungana wamekuwa mwili mmoja kwa kunia, kupanga na kutenda mambo yao katika hali ya umoja, hivyo siyo harali kumiliki mali kwa uficho. | ni harali kumiliki mali kwa siri bila kumshirikisha mke au mme? | swh | 29,773 | Swahili |
Rasimu ya awali ya Kuua ndege mdhihaki, yenye jina Go Set a Watchman, ilitolewa kwa utata mnamo Julai 14, 2015. Mkataba huu, ambao ulikamilishwa mwaka 1957, umewekwa miaka 20 baada ya kipindi cha wakati kilichoonyeshwa katika To Kill a Mockingbird lakini sio mwendelezo wa hadithi. Toleo hili la mapema la hadithi linafuata Scout Finch aliyekomaa ambaye husafiri kutoka New York kumtembelea baba yake, Atticus Finch, huko Maycomb, Alabama, ambapo anakabiliwa na kutovumiliana katika jamii yake. Hati ya Watchman iliaminika kupotea hadi wakili wa Lee Tonja Carter aliipata; ingawa madai haya yametiliwa shaka sana. Watchman ina matoleo ya awali ya wengi wa wahusika kutoka Kuua Mockingbird. Kwa mujibu wa wakala wa Lee Andrew Nurnberg, Mockingbird awali ilitakiwa kuwa kitabu cha kwanza cha trilogy: "Walijadili kuchapisha Mockingbird kwanza, Watchman mwisho, na riwaya fupi ya kuunganisha kati ya hizo mbili". Madai haya yamepuuzwa hata hivyo na mtaalam wa vitabu vya nadra James S. Jaffe, ambaye alipitia kurasa hizo kwa ombi la wakili wa Lee na akaona kuwa ni rasimu nyingine tu ya "To Kill a Mockingbird". Taarifa hiyo pia ilikuwa kinyume na maelezo ya Jonathan Mahler ya jinsi "Watchman" ilionekana kama rasimu ya kwanza tu ya "Mockingbird". Visa ambapo vifungu vingi vinafanana kati ya vitabu hivyo viwili, katika visa fulani neno kwa neno, pia vinakataa dai hilo. | Ni nini kinachomtofautisha binti Atticus Finch katika Watchmen na Mockingbird? Kwa sababu ya swali lililotangulia, andika muktadha unaotoa jibu. Inaweza kuwa sentensi 1 - 20. Muktadha: | swh | 29,774 | Swahili |
Simu za mkononi ni muhimu kwa mawasiliano ya haraka kutokana na shuguli za kibinadamu kuwa nyingi. Teknolojia imesaidia sana kuleta simu kwa binadamu hasa katika eneo la kupitisha mawasiliano kiurahisi na kuwezesha biashara mbali mbali za mtandaoni kufanyika kwa wepesi na wanunuzi kununua bidhaa kwa urahisi. | Je, simu ni muhimu kwa mawasiliano? | swh | 29,775 | Swahili |
Kitu chochote kinacho liwa na wanadamu | Chakula | swh | 29,776 | Swahili |
kalamu ni kifaa muhimu kwa msomaji au wanafunzi mashuleni maana hutumika kuandikia maneno mbali mbali katika masomo na nyaraka za kielimu na kiofisi ili kuifadhi kumbukumbu na megineo. | kalamu | swh | 29,777 | Swahili |
Televisheni inaweza kuwa na athari mbalimbali kwa watoto, zikiwemo athari za kiafya na za kielimu. Kwa upande mzuri, televisheni inaweza kutoa elimu na burudani ambayo inaweza kuwa na thamani kwa maendeleo yao. Hata hivyo, matumizi ya muda mwingi mbele ya televisheni yanaweza kuathiri afya ya mwili kwa kuchochea mtindo wa maisha usio na shughuli za kimwili. Pia, watoto wanaweza kuathiriwa na yaliyomo ya televisheni, kama vile vurugu au maudhui yasiyofaa kwa umri wao, ambayo inaweza kuathiri maadili yao na mwenendo. Ni muhimu kuwa na usimamizi mzuri wa matumizi ya televisheni kwa watoto na kuchagua programu zinazofaa kulingana na umri wao ili kuhakikisha wanapata manufaa bila kuathiriwa vibaya. | Madhara ya televisheni kwa watoto | swh | 29,778 | Swahili |
Dawa za ugonjwa wa malaria zinatibu vizuri kutokana na ubora wake. pia zinatibu haraka sana kama ukifuata maelekezo kutoka kwa daktari au tabibu. | Dawa za malaria ni nzuri. | swh | 29,779 | Swahili |
Raia mwema ni mtu yeyote anayetii na kuheshimu katiba, sheria na taratibu za nchi husika. | Raia mwema ni mtu anaye fanya nini? | swh | 29,780 | Swahili |
Samsoni alikufa kwa kuangukiwa na kufunikwa na nguzo za ukumbi mkubwa wa sherehe, baada ya kuomba kwa mungu amsamehe alicho kitwnda na kupewa nguvu mpya. Soma waamuzi sura ya 11 | Samsoni alikufa kwa njia gani? | swh | 29,781 | Swahili |
Tumbo kuuma chininya kitovu ni dalili za kuoatwa na hedhi yaani kufokwa na yai kwa upande wa mwanamke. Hii ni sababu tumbo kuuma chini ya kitovu. | Tumbo kuuma chini ya kitovu ni nini? | swh | 29,782 | Swahili |
OSHA maini OSHA viungo karoti nyanya hoho vitunguu maji katakat vizuri weka maini kwenye sufuria changanya naviungo vyote funika vichemke geuza vikiiva ipua tayari pakua kwaaili ya kula | Kupika rosti a maini | swh | 29,783 | Swahili |
Gari ni muhimu sana maana hurahisisha usafiri pia huokoa muda popote pale uendapo. Kumiliki gari ni jambo zuri sana maana mtu hufika popote aendapo kwa wakati. | Je, gari ni muhimu? | swh | 29,784 | Swahili |
Ni tunda linalopatikana kwenye mti wa muembe na likiiva huwa lina ngozi yenye rangi ya njano, na kwa mbali pinki, tunda hili huliwa na wanadamu pamoja na viumbe vingine, hutupatia vitamini C kwa wingi. | Embe ni nini? | swh | 29,785 | Swahili |
(iii) | Urefu wa mwaka ni sawa na wakati inachukua? Chagua moja kati ya haya: (i) mzunguko wa dunia; (ii) mzunguko wa jua; (iii) mzunguko wa Dunia kuzunguka Jua; (iv) mzunguko wa Jua kuzunguka Dunia; | swh | 29,786 | Swahili |
Mauaji ya kimbari ya Rwanda | what important event is this text about: Mauaji ya kimbari ya Rwanda yalitokea wakati wa urais wake. Mnamo watu 800,000 waliuawa katika kipindi cha siku 100. Sindikubwabo anakumbukwa jinsi alivyotembelea mji wake wa nyumbani Butare tarehe 19 Aprili 1994 akawakosoa viongozi wa mji ambao bado hawakuwa wameanza kuua Watutsi na kuwapa amri "waanze kazi". | swh | 29,787 | Swahili |
Michezo ya kukimbia huitwa riadha. Riadha ni aina zote za mbio, kuogelea na kuruka. | Michezo ya kukimbia huitwaje? | swh | 29,788 | Swahili |
Raia ni mtu mwenye haki za kisheria kutokana na kuzaliwa katika taifa fulani | nini maana ya raia? | swh | 29,789 | Swahili |
Maumivu ya kichwa husababishwa na mambo yafuatayo; kutokunywa maji ya kutosha, njaa, chakula kukosekana tumboni, msongo wa mawazo, na tatizo la mwili kama magonjwa mbalimbali | Maumivu ya kichwa husababiswa na nini? | swh | 29,790 | Swahili |
Subsets and Splits