Search is not available for this dataset
url
string
title
string
content
string
timestamp
string
language
string
last_updated
string
total_documents
int64
https://www.bbc.com/swahili
Swahili - BBC News Swahili
Njama ya kumuua Papa Francis wakati wa safari yake nchini Iraq ilizuiwa kufuatia taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vya Uingereza kulingana na wasifu wake ujao Uhusiano kati ya Uturuki na Urusi katika siasa za ulimwengu ni mada ya kuvutia na ngumu Matukio ya hivi nchini Syria yamejaribu tena urafiki wa kimkakati wa Erdogan na Putin Raia wa Uzbekistan anazuiliwa kwa kifo cha jenerali Kirillov na msaidizi wake Baada ya kifo cha kaka yake Basil alAssad katika ajali ya gari mnamo Januari 1994 kulikuwa na matarajio kwamba Maher anaweza kumrithi babake Hafez alAssad kiti cha urais Hivi sasa tunajenga hifadhi za chini ya ardhi mbili zenye thamani ya euro nusu milioni huko Barcelona Watu wanajua zaidi kuhusu kutokuwa na utulivu duniani kote Zaidi ya hayo jamii haiogopi tu dharura zinazohusiana na vita Wengine wanataka kujenga hifadhi za chini ya ardhi kujikinga na majanga mengine hatarishi kwa afya ya binadamu anasema Llorente Lymphoedema sio uvimbe tu Ni uchungu na inachukiza Inaathiri maisha yako y akila sikuanasema Friett ambaye ni mgonjwa wa Lymphoedema Jenerali Luteni Kirillov alikuwa akiondoka katika jengo la kisasa la ghorofa katika sehemu ya kusinimashariki ya Moscow mapema Jumanne wakati kifaa kilichofichwa kwenye skuta iliyoegeshwa kililipuka kulingana na Kamati ya Uchunguzi ya Urusi ambayo ni sawa kimamlaka na FBI ya Marekani Atletico Madrid wanafikiria kumnunua Alejandro Garnacho Manchester United kuanzisha mazungumzo ya kina kuhusu mkataba mpya na Amad Diallo mwezi Januari Claudio Ranieri asema Paulo Dybala anaweza kuondoka Roma Jenerali wa ngazi ya juu wa jeshi la Urusi na msaidizi wake wameuawa katika mlipuko mjini Moscow Wakati waasi wakiongozwa na upinzani wa Syria walipochukua miji na majimbo ya Syria katika muda wa siku 12 tu Bashar alAssad hakuonekana popote Licha ya madhara makubwa yanayotokana na matumizi ya mabomu ya kizamanihakuna dalili za kumalizika kwa vurugu za mabomu huko West Bengal Hakuna chama chochote cha kisiasa kinachokubali kutumia mabomu kwa faida za kisiasa Putin amesema kuwa kwa wastani zaidi ya watu elfu moja wamejiunga na jeshi kila siku mwaka huu na kusema kuwa nguvu za jeshi la Urusi zimeongezeka hadi wanajeshi milioni 15 Wanawake walioangaziwa katika orodha ya mwaka huu wanawakilisha aina kuu biashara teknolojia fedha vyombo vya habari siasa na uhisani Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amethibitisha kuwasiliana na kundi la HTS licha ya kuwa bado liko kwenye orodha ya ugaidi ya Marekani Hadi mwisho wa 2010 wengi wa viongozi hawa wa nchi za Kiarabu hawakuwahi kufikiria kwamba wangekumbana na mzozo ambao ungeangusha serikali zao Nyangumi mwenye nundu amefanya uhamiaji mkubwa na wa kipekee kuwahi kurekodiwahuenda ukiwa umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi wanasayansi wanasema Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017kisha kuzuka tena miaka kadhaa baadaye Zanzibar katika bahari hindi umbali wa angalau kilomita 13000 Takriban Wakenya 1400 hufa kwa kujitoa uhai kila mwaka kulingana na Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu ya Kenya Wakati wafuasi wa mume wake wakimtaja kama yasmine wa Damascus baadhi ya maadui zake wamempa jina la utani bibi kifo au mke wa muuaji Wakati Jamhuri ya Kiislamu ikilamba majeraha yake na kujiandaa kwa urais wa Donald Trump Je itaamua kuja na mitazamo mikali zaidi au itaanzisha upya mazungumzo na nchi za Magharibi Na utawala huo upo imara kiasi gani Aliyekuwa mwanafunzi wa taaluma ya udaktari wa macho Uingereza Bashar alAssad na kuja kuwa kiongozi wa kiimla ambaye nchi anayeiongoza kugawanyika kwa misururu ya kivita Mwanamuziki huyo kwa sasa anashikiliwa katika gereza la Metropolitan huko Manhattan akisubiri kufikishwa mahakamani kwa mashtaka tofauti ya utumwa wa ngono na utapeli na yote anayakanusha Kipindi cha habari motomoto kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani Kipindi cha habari makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Kipindi cha habari mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Kipindi cha habari mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Kipindi cha habari makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
2024-12-18 14:18:31
sw
null
null
null
null
null
null
null
2024-12-18 14:19:26
1