text
stringlengths
0
4.5k
Beijing kupunguza matumizi yake ya …
Mwezi kuwa mkubwa siku ya Jumatatu
UNICEF: mtoto mmoja kati ya saba …
WAKUU WA MAJESHI YA UTURUKI, MAREKANI NA URUSI WAKUTANA. – ZANZIBAR BROADCASTING CORPORATION
Mkuu wa majeshi ya uturuki anakutana na wenzake wa marekani na urusi katika mkoa wa kusini mwa uturuki wa antalya ili kujadili kuhusu usalama wa kikanda, hasa katika nchi nchini syria na iraq.
Mwezi agosti, wanajeshi wanaoongozwa na uturuki walianzisha operesheni ya kulifurusha kundi la dola la kiislamu kutoka mpaka wa uturuki na syria na kuwazuia wapiganaji wa kikurdi kulikamata eneo hilo.
Uturuki inaliona kundi hilo kuwa sehemu ya chama cha wafanyakazi wa kikurdi – pkk ambacho kinaendesha uasi nchini uturuki.
Baada ya kimya cha muda na maneno kibao hatimaye Alikiba ameachia ngoma yake mpya 'Seduce Me' Unaweza kuipata hapa.
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: TANROADS Kujenga daraja mto Momba kuunganisha Rukwa na Songwe
Kuhamisha muziki kutoka iTunes kwa PC/Mac
Kwanza ya yote unahitaji kufungua programu TunesGo kwenye PC/Mac yako na mbili kubofya ikoni yake. Skrini nyumbani kama ilivyotolewa chini itaonekana.
Sasa Nenda kwenye muziki chaguo chini ya maktaba ya iTunes kwenye upande wa mkono wa kushoto ambayo itaonyesha orodha ya nyimbo zilizopo.
Nenda kwenye menyu ya juu ya TunesGo na bonyeza "Hamisha kwa" chaguo ambalo kuonyesha orodha ya vifaa vilivyopo na Teua hapa PC yako au Mac. (Onyesha kiwamba inaonyesha chaguo teuliwa kama "Kuhamisha kwa ngamizi yangu")
Baada ya umeteua kabrasha fikio, nyimbo itakuwa kuhamishiwa na Hamisha itakuwa mafanikio (Screen risasi inaonyesha mafanikio usafirishaji wa nyimbo). Unaweza kuangalia nyimbo kwenye kompyuta yako au Mac.
Master J na Shaa walikutana kwa mara ya kwanza kwenye mradi wa Cocacola Popstars takriban miaka 10 iliyopita. Download App Yetu >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !
Mkurugenzi Mtendaji wa halmshauri ya Wilaya ya Mufindi Prof. Riziki Shemdoe, akiwasilisha tuzo iliyotunukiwa halmashauri kwa kufanya vizuri kwenye zoezi la usajili na uandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa Watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano
Rais wa Tanzania John Magufuli akiwa na mgeni wake rais wa Rwanda Paul Kagame, Ikulu jijini Dar es salaam Januari 14 2018 twitter.com/MwananchiNews
Rais wa Rwanda Paul Kagame, amekuwa katika ziara ya siku moja nchini Tanzania siku ya Jumapili, ikiwa ni ziara yake ya pili ya kikazi nchini humo tangu kuingia madarakani kwa rais John Magufuli mwaka 2015.
Katika mashauriano yake na mwenyeji wake rais Magufuli, viongozi hao wawili wamekubaliana kujenga reli ya kati kutoka Isaka nchini Tanzania hadi jijini Kigali.
Marais hao wamewaagiza Mawaziri wa nchi hizo mbili wanaohusika na uchukuzi kukutana hivi karibuni, kujadili uwezeshaji wa mradi huu mkubwa.
Rais Magufuli amesema mradi huu utaimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kibiashara na kusaidia kuunda nafasi za kazi hasa kwa vijana.
Mradi huu ukikamilika, utasaidia wafanyibiashara kusafirisha mizigo kati ya nchi hizo mbili, hasa Rwanda ambayo itakuwa na uwezo wa kusafirisha kwa urahisi mizigo yake kutoka bandari ya Dar es salaam.
Mbali na mradi huu, Tanzania na Uganda zinashirikiana katika mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima kwenda Bandari ya Tanga, mradi ambao ukikamilika, utasaidia Uganda kusafirisha mafuta yake katika soko la Kimataifa.
Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini yamekubaliana kuimarisha miundo mbinu ya reli na barabara ili kuunganisha eneo la Afrika Mashariki kwa lengo la kuimarika kiuchumi.
Rushwa na ukosefu wa maadili unavyosumbua waamuzi wa Afrika - RFI
Mwamuzi wa kimataifa wa Kenya, Aden Marwa ambaye ameondolewa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi Wikipedia
Shirikisho la kandanda duniani Fifa limemwondoa mwamuzi Msaidizi Aden Marwa aliyepaswa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa.
Sintofahamu yaibuka katika timu ya taifa ya soka ya Nigeria
Shirikisho la Soka nchini Ghana lavunjwa kutokana na tuhuma za rushwa
Semalt: Kwa nini Maudhui safi ni muhimu kwa tovuti yako na SEO
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.
Opinion by JulieMoron posted zaidi ya mwaka mmoja uliopita
'Maceleb' 9 ambao wanapendeza wakiwa na mchano wa nywele wa aina ya 'Drealocks' ▷ Tuko.co.ke
Hapo awali, mtu yeyote angeweka mtindo huu wa nywele angetajwa kuwa msenge na angebaguliwa katika jamii.
TUKO.co.ke iliweza kuangazia baadhi ya 'Maceleb ' wa humu nchini ambao wanavutia sana wakiwa wameweka aina ya mchano huu.
Nazizi ambaye ni mama wa mtoto mmoja huonekana kuwa mrembo sana na mchano huo wa nywele.Picha:Nazizi Hirjir/Instagram
Juliani ambaye ni mwanamuziki wa nyimbo za injili ameenzi sana mchano huu wa nywele kwa muda mrefu.Picha:Juliani/Instagram
Uamuzi wa Matiang'i ambao utamwokoa Gavana Joho ▷ Tuko.co.ke
Uamuzi wa Matiang'i ambao utamwokoa Gavana Joho
Kulingana na Matiang'i, hakuna uhusiano wowote kati ya kuwa na shahada ya chuo kikuu na uongozi mwema wa kaunti.
Akiongea na Wakenya wanaoishi jijini Boston Marekani alisisitiza kuwa Kenya inafaa kutumia mfumo wa Marekani ili kuondoa makosa yaliyomo katika mtaala wa elimu.
Hi thanks for the heshima :) ilitumwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita
- Msanii wa Injili Bahati kwa mara nyingine amejisababishia fedheha baada ya kuchapisha picha akiwa na mke wake Diana Marua
Huenda watumiaji wa mtandao kila mara huwa tayari kuponza kitu kizuri na mfano bora ni penzi la Bahati na mke wake Diana Marua.
Wawili hao ambao ni wahusika wakuu katika shoo yao, walizozana kwa muda wa wiki chache zilizopita nah ii ilikuwa ni kwa manufaa ya kipindi hicho.
Hadi sasa, wawili hao wamerejeleana na mambo ni shwari baada ya Bahati kumzawidi mke wake huyo nyumba mpya.
Wengi wa mashabiki waliochambua picha hizo, walitumia lugha ya afadhali lakini, ni bayana kuwa, walimpasha waziwazi yeye (Bahati) ni mchnga kuliko mke wake.
Jifunze kutokana na hadithi ya Yakobo na Esau. Pakua zoezi hili, soma hadithi ya Biblia, na uwazie kihalisi masimulizi hayo akilini mwako!
Je, unatambua kwamba ni muhimu kuchagua marafiki kwa hekima?
Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (kulia) akutana na Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing, kuhusu maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yatakayofanyika nchini China mwezi Oktoba 2014.
Maafisa kutoka Hazina na Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo hayo kwa makini.
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARI 19,2018 - NDANI NA NJE YA TANZANIA
imewasilishwa kwa SarahCorine zaidi ya mwaka mmoja uliopita
PAMOJA na umuhimu wa Cheti cha Kuzaliwa bado wananchi wengi hawana vyeti vya kuzaliwa nchini. Kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 13.4 tu ndio walio na vyeti vya kuzaliwa na zipo sababu nyingi za kimfumo wa usajili na kihistoria zilizosababisha hali hii.
Ishara ya Nyakati
Jifunze kuhusu historia ya nembo ya Watchtower, ishara maarufu sana katika jiji la New York.
KIKOSI CHA TANZANIA PRISONS DHIDI YA SIMBA
MALIASILI NA UTALII BLOG: WAZIRI WA MALIASILI, PROF. JUMANNE MAGHEMBE ATEMBELEA CHUO CHA BTI TABORA, AMTAKA MKUU WA MKOA HUO KUANDAA UTARATIBU KWA WAJASIRIAMALI WA UFUGAJI NYUKI KUJIFUNZA CHUONI HAPO
OFISA wa Kampuni ya Tupamoja, Khamis Haji Mzee (katikati), akiwaonyesha wananchi jinsi anvyoingiza matangazo mbalimbali kwenye mtandao. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Kristin Dorl.
PICHA : Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akipanda miti jana wilayani humo ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni ya kupanda miti. Benki ya Diamond Trust Tanzania imedhamini shughuli hiyo kwa kuchangia sh. milioni tano. Picha kwa hisani ya DTB.
Sio mamtoni kama tulivyozoea, hii ni kutoka kwa majirani zetu. Huko Uganda wamefanikiwa kutengeneza na kutambulisha rasmi basi la viti 35 linalotembea kwa kutumia nguvu ya umeme jua (Solar energy).
Basi hilo limetengenezwa na shirika la Kiira Motors Corporation (KMC), ambalo linapata luzuku kutoka serikali ya Uganda. Hili si gari la kwanza kutengenezwa na shirika hilo, na nia yao kubwa ni kuhakikisha wanapata wateja ili kuwawezesha kutengeneza na kuuza mabasi hayo.
Kupitia mabetri mawili ya umeme wa ziada basi hili litaweza kutembea umbali wa kilomita 80 kwa kutumia chaji iliyopo na ata zaidi kutokana na mabetri hayo kuendelea kuchajiwa kupitia ‘solar panels’ zilizowekwa juu ya basi hilo.
Wanategemea kufikia mwaka 2018 wataweza kuwa tayari kutengeneza na kuuza mabasi hayo kulingana na oda watakazozipata. Lakini ili kufikia hatua hiyo shirika hilo linaitaji pesa kutoka kwa wawekezaji wengine nje ya luzuku ya serikali ambayo ni kwa ajili ya utafiti zaidi.
Hiyo ndio bei wanayotegemea kuuzia mabasi hayo, hii ni bei ya juu bado ukilinganisha na kati ya $35,000 hadi $50,000 inayoweza kukupatia mabasi mapya kwa sasa yenye kiwango cha viti 35 vya kukaa. Dola 50,000 za kimarekani ni takribani Tsh Milioni 126 _ Kes Milioni 5.9
Je una maoni gani juu wa maendelea wanayofikia katika utengenezaji wa magari? Tuambie kwenye eneo comment
HABARI NA MATUKIO: MAGAZETINI LEO MAY 16, 2017; JPM AIVUNJA CDA ... WAZIRI WA JK ATISHIWA KWA RISASI ... HOFU YA EBOLA YATANDA NCHINI TANZANIA
Swahili Time: Usiharibu Harusi Yako na Make -Up ya Ajabu!
Hiyo ni make-up gani tena? Jamani Jamani! Ni kama make-up ya filam ya kutisha... Horror movie, au labda filam ya vichekesho.