text
stringlengths
0
4.5k
Nimepata kusikia baadhi ya wazee hasa wapenda mabadiliko ambao ni wakereketwa wa CCM wakisimulia jinsi Baba wa Taifa, Hayati J.K Nyerere ambavyo alipata kumkemea hadharani, rafiki yake kipenzi; KAWAWA baada ya kutoa ahadi nzito ya kufa mwana CCM siku moja wakiwa dodoma! Nyerere alimwambia ilikuwa si busara kwa KAWAWA kuahidi ahadi nzito kwa chama kilichozikwa na azimio la ZANZIBAR! Wito wangu kwa walio na mtazamo kuwa CCM ipo kwa ajili ya kutawala milele, ni vema mukaamini kuwa sasa imekwisha!
Hivi kazi kuu ya Mh.Rais ni ipi?
Tangu uchaguzi mkuu ufanyike nchini(2010)rais amekua ni mtu wa ziara nje ya nchi huku ndani ya nchi ni migogoro,migomo,mauaji na utendaji usifaa wa wasaidizi,lakini sijamsikia akiwawajiba wasiotimiza wajibu wao.mfano mzuri mgomo wa madaktari madai yao ni mengi hasa mawaziri wa afya likiwa moja kati ya hayo,wakigoma madaktari sisi wananchi wa kawaida ndio tunaoathirika,hata awe rafiki anapokosea awajibishe kulingana na sheria husika
Kutekeleza ilani ya chama!!
Natafuta kazi nimesomea maendeleo ya jamii jinsia na watoto, nina Diploma ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto. Naombeni mnisaidie wana JF
Nenda NSSF wanahitaji watu kama wewe, tena wahi.
Bwana nimepata viwanja bomba sana nilidrive kutoka Dodoma hadi Kilindi. Asante kwa kunipa taarifa ya kuuzwa kwa viwanja hivyo
hakuna msamalia mwema jamani,nami nataka kiwanja huko huko Wilaya mpya ya kilindi
huko kwenu huku kwangu ni saa sita usiku bado umeme haujarudi Jamani kulikoni huko kwetu Tanzania kuna Viongozi wa kweli jamani?Au Uchakachuaji umekuwa mwingi hata
kwenye matatizo ya umeme? Tatizo la Umeme mimi ninakumbuka tangu mwaka 1992 nilipoondoka hapo Tanzania bado lipo jamani mpaka leo? Hiyo Nchi kweli imeoza jamani.
kila siku. Nawaombeni munifahamishe kuhusu umeme wa Jua gharama zake ili niweze kutatuwa matatizo ya umeme kwa mwanangu asanteni kwa ushauri wenu.
Kumbe hiyo ya siku moja contents zake zinakuwa nini sasa?
kaka yangu usipate shida, tatizo ni kwamba haya yanafanywa kwa upande mmoja tu wa ke ilihali me tunaassume kuwa anajua majukum yake. kumbe ni makosa makubwa. mama peke yake hawez akafanya kila kitu bila kusaidiwa na baba na ndio maana kwangu kitchen paty naichukulia kama sherehe ya kupewa vyombo tu lakin siyo mafunzo
Yucca juu ya mlima wa magharibi kutoka kuingia katika Milima ya Davis State Park. Fort Davis, Texas, 29 Desemba 2007
Mfano, nimeona kwa sasa kuna tofauti kubwa sana kati ya wakristu na waislam namna wanavyoshughulia mambo yao ili waweze kuendesha maisha yao.
Wakati wakristu wakifanya kazi kubwa kuhakikisha mambo yao yanakwenda kwa mafanikio makubwa bila kukosea sana, waislamu wamekuwa mstari wa mbele kulaumu kuwa mafanikio ya wakristu katika mambo yao ni kwa sababu ya kupendelewa!
Wadau kwa wale wenye vijana waliofanya mtihani wa kidato cha sita. Matokeo yapo hewani kwenye website ya NECTA.
Kumbuka kuwa hizi shule za binafsi, zinataka kutengeneza jina ili kuweza kuatract wanafunzi wengi kwa bei kubwa zaidi
hizi shule za binafsi baadhi yake ni a blessing in disguise, kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu hizi shule, mjadala usiishie tu kwa shule za kata
Nani wa kulaumiwa hapo? Kwa nini wanakimbilia huko?
JIBU: Serikali imeshindwa kuendesha shule zake kwa kuwa watoto wao hawasomi humo.
hizo shule zenye 00000 kwasana ndo wale wanafunzi ambao muda wote wapo guest na kwenye mambo yasiyo na tija ktk life zao ******
Spoti TZ imeongea na Daktari wa kikosi cha Simba Yassin Gembe kuhusianana na majeraha hayo aliyoyapata Mkude ambapo alisema ‘Mkude ameumia kwenye kifundo cha mguu wa kulia, kwa vipimo vya awali sio majeraha makubwa sana, ila kesho ndio tutatoa taarifa kamili kuhusianana na hali yake kwa ujumla ila kwa sasa napenda kusema anaendelea vizuri kutoka katika matibabu ya awali tuliyompatia’
Mwakyembe waziri wa nishati na madini, samwel sita waziri mkuu
Hiyo injini ya 1 KZ inauzwa shs. ngapi? Zinapatikana hapa Dar? Pamoja na ufundi total cost inaweza kuwa kiasi gani? Mafundi wazuri wapo wapi? Samahani maswali ni mengi lakini nina shida nahitaji kupata ufumbuzi.​
Naona Sugar wa Ukweli ni mtaalamu sana wa maswala ya usafiri
Ushauri wako ndio mwisho wa mchezo ingawaje ni gharama KIDOGO. Nilibadilisha ya kwangu na ilinigharimu karibu 6.5m lakini gari iko safi kupita kiasi.
Mteja: Lakini nimenunua hizi sigara kwenye duka hili.
Unaelewa tofauti ya mtu kuweka picha yake na mtu mwingine kuvuna picha zote kwenye file moja? Unaelewa implications zake?
AsSalamu 'Alaykum Wa Rahmatullahi Wa Barakatuh, 24/11/2010
Season nyingine Kali imetasiliwa kwa lugha ya kiswahili.
Kwaya Ya Mt Petro Na Paulo Mp3 Download
Kwaya Ya Mtakatifu Petro Na Paulo Heri Walio Maskini Official Video Mp3
UMUHIMU WA FASIHI SIMULIZI
Taraf parfmu #35 ,000 Unaletewa popote ulipo ndani ya Dar Call 0658 232374 Mikoani tuna tuma pia Ukihitaji Kwa jumla na reja reja
Historia ya mtume muhammad
Hata na hizo hela unazozungumzia za Afrika Kusini, bado hakuna usawa ikija kwa mambo ya uhuru wa kiuchumi, uliza waafrika wa asili nchini humo. Madini na migodi yote zinamilikiwa na wachina na makaburu. kwahivyo hali ni ile ile. wafrika huko wamebaki watazamaji tu kwa uendeshaji wa uchumui wao.
[h=3]UBAYA NA UZURI WA KUWA MWANA CCM[/h]
UBAYA NA UZURI WA KUWA MWANA CCM
Hiyo ni mzalendo.net??
kwa utaratibu wa polisi cheo chake kinamfanya pia kuwa msemaji wa polisi wa eneo lake
Mboma,Mahita,Tibaigana,wote hawa hivi karibuni wametajwa au wamenza kujitokeza kwa ajili ya kugombea ubunge majimboni kwao.Naamini naye yuko njia moja tu.
Kuna confusion kubwa hapa kwani matangazo yote ya vyombo vya usalama yanasisitiza wananchi tukimaliza kupiga kura tu twende nyumbani. Sasa matokeo yatabandikwa kwa ajili ya nani?
asante kwa ujumbe maridhawa, na mwenye masikio na asikie.
Wengi walikitegua, lakini wako mbele ya haki!!
Huyo nyoka aitwe magamba, maana rangi ya magamba yake inafanana na baadhi ya rangi za chama cha magamba.
nyoka wa ajabu kweli,sijui kwa sasa yuko wapi..maana si ajabu kashaibiwa na mgunduzi.
Baba Wambinguni Nyosha Mkono Wako Watu Wauone Walisifu Jina Lako .
A boti Windmill na uvuvi, maoni kutoka Shore Road katika Cape Cod. Chatham, Massachusetts, Januari 18, 2005.
Praise power hawana professional presenter hata siku moja kuna siku mtu alikuwa anajifanya ni great thinker anaeleza ni vipi unaweza kupata kazi ya u kurugenzi au u meneja alikuwa anasema kwanza lazima angalau uwe na kitambi, harafu uwe mrefu na ukitaka uwe unasikilizwa sana uwe mweupe alikuwa very serious. Nashangaa ilikuwa ya kwanza kati ya redio za dini ya kikristo nadhani kwa sababu wana waumini wengi hivyo yule mama mwanasiasa ambaye pia ni mfanyabiashara mashuhuri na sijui nasikia pia ni mchungaji aliwaambia wafuasi wake waipigie kura.
watangazaji wanakera sana, atakuwa hajui maana ya ajali, ni kosa lake na anatakiwa kuchuja mambo kabla ya kuyaropoka.
Inaezekana ni kwaajili ya kumbukumbu, au ni ujinga wao na ulimbukeni tu.
je na wewe uko tayari kupiga hizo picha?..
DIvorce cake ipi imekuvutia kati ya hizi mbili?
Sidhani kama hlssf wako serious,nahisi ni matapeli wa mjini tu.
sasa basi mzee wa watu alijenga [..] huko [...] kwao..ila hata kibanda mjini hakuwa nacho..si unajua ten akuna wenye nyumba za maofisi?...........
Hakuna kitu kinaitwa salary kwa graduates kwenye huduma kwa wateja...mwenye cheti na mwenye shahada wote mshahara wote.
Kuna wakati nashindwa kujua ya kuwa je waziri ngeleja ndio aliyewaambia tanesco kuanza tena mgao wa umeme mara baada ya kupita kwa bajeti yake au la ?
ccm wanajibu hoja za chadema kwenye mkutano wao hapa tegeta kwa ndevu
Kuu ya Wilaya ya Biashara, maoni kutoka "Club 360" mgahawa katika juu ya mnara WTC. New Orleans, Louisiana, Machi 10, 2005.
hujui nini majukumu ya mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama/taasisi