id
stringlengths
1
5
label
int64
0
59
text
stringlengths
1
221
label_text
stringlengths
8
24
293
22
nini kinaendelea duniani
news_query
294
22
niambie habari
news_query
300
13
nini utabiri wa leo
weather_query
301
13
hali ya hewa iko aje
weather_query
302
12
hey unafanya nini
general_quirky
303
5
unaendeleaje
general_greet
304
5
habari ya asubuhi kuna nini
general_greet
305
16
agiza biriani kutoka pizza inn
takeaway_order
306
16
ningependa kula sushi unaweza kuniagiza chakula cha mchana
takeaway_order
307
16
aleza ningependa kuwa na samaki wa kupaka unaweza niagizia chamcha
takeaway_order
308
16
agiza supu na sandwich ya kuchukua kuenda nayo kutoka moriah chicken grill
takeaway_order
309
0
zimesalia siku ngapi mwaka huu
datetime_query
313
18
ongeza mwangaza kwa asilimia ishirini
iot_hue_lightup
314
18
weka taa kwa nguvu kamili
iot_hue_lightup
316
46
nyamazisha
audio_volume_mute
320
13
nibebe mwavuli kesho
weather_query
323
24
washa chaja mahiri
iot_wemo_on
324
22
niambie habari ya teknolojia kutoka daily nation
news_query
325
13
furaha
weather_query
326
13
jioni
weather_query
327
13
jumapili
weather_query
330
35
punguza sauti kiasi
audio_volume_down
332
46
kimya
audio_volume_mute
335
13
natamani kujuwa hali ya hewa ya mombasa
weather_query
336
13
kuna theluji huko california
weather_query
339
56
yo ninahitaji kahawa sasa
iot_coffee
340
56
nilimsaidia maskini leo olly
iot_coffee
341
56
washa mashine ya kahawa
iot_coffee
342
56
pata kikombe cha kahawa tayari sasa
iot_coffee
343
13
hali ya hewa itakuwa aje kesho
weather_query
347
13
utabiri wa hali ya hewa ya kesho ni
weather_query
349
13
kutakuwa na theluji kesho
weather_query
350
3
angalia kama unaweza kuagiza chakula cha kubeba kutoka mkahawa huo
takeaway_query
351
3
tafuta hoteli unaofanya takeaway
takeaway_query
352
3
kunayo menyu ya kubeba kwa mkahawa
takeaway_query
354
0
machi tarehe ishirini na tisa inakuja siku gani
datetime_query
356
23
kengele yangu ijayo ni gani
alarm_query
357
23
tafadhali niambie kengele zangu
alarm_query
358
23
kengele yangu italia saa ngapi leo
alarm_query
359
0
unaweza kuniambia saa
datetime_query
361
45
cheza wimbo wa nane kwenye muziki ya google play
play_music
363
45
kucheza wimbo yangu nakupenda malaika kwenye orodha ya kucheza
play_music
364
0
ni tarehe ngapi sasa
datetime_query
367
22
nini kinaendelea kwenye habari
news_query
370
40
nataka taa izimwe unaweza kunifanyia
iot_hue_lightoff
374
13
niambie kama yafuatayo ni kweli kuhusu hali ya anga
weather_query
376
13
angalia programu ya hali ya hewa ili kuona kama
weather_query
377
43
unaweza kuhifadhi muziki huu kwa orodha yangu ya kucheza
music_likeness
378
43
nivipi ukiuhifadhi muziki huu
music_likeness
380
45
tafadhali cheza niko sawa ya nviiri
play_music
381
45
tafadhali fungua programu yangu ya muziki na ucheze mapenzi hisia ya otile brown
play_music
382
45
tafadhali cheza wimbo kelebe wa rayvanny
play_music
383
40
zima taa ya karakana
iot_hue_lightoff
384
22
angalia habari motomoto kwenye daily nation
news_query
386
22
habari yoyote ya kifo kwenye standard ya kenya
news_query
390
24
badilisha soketi plagi mahiri
iot_wemo_on
394
38
ikiwa ni mchana huko kisumu saa ngapi huko mombasa
datetime_convert
395
38
ni tofauti gani kati ya wakati wa mashariki na wakati wa pasifiki
datetime_convert
396
45
cheza bidii yangu ya jua cali
play_music
398
13
je kutakuwa na joto kesho
weather_query
401
45
muziki tafadhali
play_music
402
1
badilisha rangi ya taa ndani ya nyumba
iot_hue_lightchange
403
1
waweza changanya rangi za taa za nyumba
iot_hue_lightchange
404
1
waweza badilisha rangi za taa za nyumba ziwe giza
iot_hue_lightchange
408
23
kengele gani nimeweka
alarm_query
409
23
nisomee kengele zangu
alarm_query
410
23
kengele zangu zimewekwa saa ngapi
alarm_query
413
1
badilisha taa za chumba changu ziwe buluu
iot_hue_lightchange
414
1
badilisha taa kwa chumba yangu kwa baadhi ya rangi zingine za kimapenzi
iot_hue_lightchange
416
48
niwekee kengele ya saa mbili asubuhi
alarm_set
417
48
tengeneza kengele ya saa kumi alasiri
alarm_set
418
48
niwekee kengele ya kuamka ya saa tatu kaso robo asubuhi
alarm_set
422
22
taarifa za habari zinazojiri ni zipi
news_query
425
22
ni habari zipi za kandanda kenya
news_query
429
40
zima taa ya bafu
iot_hue_lightoff
432
13
hali ya hewa iko aje sasa hivi nje
weather_query
433
13
kuna joto kiasi gani sasa hivi nje
weather_query
435
0
jumanne ijayo ni siku gani ya mwezi
datetime_query
436
45
cheza folda ya ommy dimpoz
play_music
438
13
mvua itanyesha leo
weather_query
440
22
nisome vichwa vipya vya habari
news_query
445
28
rudia album
music_settings
446
45
cheza metallica ya sauti sol
play_music
447
45
cheza muziki za zama za kale
play_music
449
56
tengeneza kahawa
iot_coffee
450
56
tengeneza kahawa olly
iot_coffee
452
22
nani ambaye anaongoza katika uchaguzi wa ubunge
news_query
453
0
tarehe ya leo ni nini
datetime_query
454
1
badilisha taa za jikoni kuwa buluu
iot_hue_lightchange
455
1
tengeneza taa za sebuleni ziwe nyekundu
iot_hue_lightchange
458
14
je waweza kuongea kwa sauti ya juu kiasi
audio_volume_up
459
14
siwezi kukusikia vizuri unaweza ongeza sauti yako ikuwe juu kidogo
audio_volume_up
460
14
tafadhali ongea kwa sauti
audio_volume_up
461
45
nataka kusikiliza nyimbo za classical
play_music
462
45
nataka kusikiliza jazz
play_music
463
0
ni siku ipi
datetime_query
464
0
niambie tarehe na saa
datetime_query
466
0
siri ni tarehe ngapi
datetime_query
467
18
angaza taa wa chumba yangu cha kulala
iot_hue_lightup
469
40
zima taa
iot_hue_lightoff