English sentence
stringlengths
1
1.37k
Swahili Translation
stringlengths
1
1.21k
Who is this man?
Mtu huyu ni nani?
Yes, I am married.
Ndiyo, ninaolewa.
I come from Colombia.
Ninatoka Kolombia.
Do the children go to school?
Watoto wanakwenda shuleni?
If you don't understand, ask.
Usipofahamu, uliza.
The man is eating bread.
Mwanamume anakula mkate.
Who is reading?
Nani anasoma?
It's a new book.
Ni kitabu kipya.
The boy has a newspaper.
Mvulana ana gazeti.
Is there any reason for that?
Je, kuna sababu yoyote?
Why is this so, Yusufu?
Kwa nini mambo yanakuwa hivi, Bwana Yusufu?
Yes, there are two important reasons.
Ndiyo, kuna sababu kubwa mbili.
In the first place, women have more free time than men. In the second place, they have fewer things to worry about than men.
Kwanza, wanawake wana wakati mwingi zaidi kuliko wanaume. Pili, wanawake wanafikiri mambo machache zaidi kuliko wanaume.
The men go to work.
Wanaume wakakwenda kazini.
The men are generally tired when they come back from work.
Wanaume huchoka wakirudi kutoka kazini.
Sometimes they say, "I can't go to school today. I'll go tomorrow."
Pengine husema, "Mimi leo siwezi kwenda shuleni. Nitakwenda kesho."
In that case, they fall behind.
Kumbe wanachelewa!
I've heard that you don't eat green leafy vegetables. You say that it is food for animals.
Nimesikia kuwa hamli mboga za majani kwenu. Mnasema kuwa ni chakula cha wanyama.
That's nothing but a lie!
Huo ni uongo mtupu.
The people there are not so dumb.
Kule watu wanaelewa.
They know what "vitamin" means.
Wanajua maana ya vitamin ni nini.
When you don't eat leafy foods, you can't get vitamins.
Usipokula chakula cha majani huwezi kupata vitamin.
I was quite surprised.
Mimi nilistaajabu sana.
I was surprised that when I heard that people really don't eat leafy vegetables.
Nilistaajabu niliposikia kuwa kweli watu hawali mboga za majani.
That's not true at all.
Hiyo si kweli hata kidogo.
I see that the time is approaching, Yusufu.
Bwana Yusufu, sasa naona wakati unakaribia.
I must hurry to catch the train.
Sina budi nikimbilie gari la moshi.
Fine. I'd be very happy if you would drop me a line as soon as you get to Mwanza.
Vema. Ningefurahi sana kama ungeniandikia barua mara tu ufikapo Mwanza.
Tell me all about the trip you've made.
Unieleze habari zote za safari uliyosafiri.
Tell me how you will take the steamer from Mwanza to Bukoba.
Unieleze jinsi utakavyopanda stima kutoka pale Mwanza mpaka Bukoba.
Good bye, and safe trip.
Kwaheri bwana. Safiri salama!
Good bye, and thanks.
Kwaheri bwana, asante!
You'll see it for yourself.
Wewe mwenyewe utashuhudia.
Ask God that you may visit that country some day.
Omba Mungu uitembelee nchi hiyo siku moja.
"Father, why are you putting on clean clothes?" "Because I'm going to church."
"Baba, kwa nini unavaa nguo safi?" "Kwa sababu ninakwenda kanisani."
"Do you want to go to church with me, Daudi?" "No, father. I don't want to today. I'll go by myself tomorrow."
"Daudi, unataka twende kanisani?" "Hapana, baba. Sitaki leo. Nitakwenda kesho peke yangu."
But your mother is going too.
Lakini mama yako anakwenda pia.
Even if I'm going to stay at home by myself, I'm not going any place at all today.
Ijapokuwa nitakaa nyumbani peke yangu, sitakwenda mahali popote siku ya leo.
I do not want any bananas at all.
Sitaki ndizi zozote.
I do not want any milk at all.
Sitaki maziwa yoyote.
I do not want anybody at all.
Sitaki watu wo wote.
We did not see a single game.
Hatukuona michezo yo yote.
We did not see any children at all.
Hatukuona watoto wo wote.
He does not have any relatives at all.
Yeye hana jamaa ye yote.
He does not have any friends.
Yeye hana rafiki ye yote.
"I shall go to the market this afternoon. How about you?" "No, I will not go."
"Nitakwenda sokoni mchana. Na wewe je?" "La, mimi sitakwenda."
"I shall buy a new house. How about you?" "No, I will not buy one."
"Nitanunua nyumba mpya. Na wewe je?" "La, mimi sitanunua."
"Juma will pay school fees. How about Hamisi?" "No, he will not pay them."
"Juma atalipa ada ya shule. Na Hamisi je?" "La, yeye hatalipa."
"Juma will help his friends. How about Hamisi?" "No, he will not help them."
"Juma atawasaidia rafiki zake. Na Hamisi je?" "La, yeye hatawasaidia."
"My friends will learn Nyamwezi. How about yours?" "No, they will not learn it."
"Rafiki zangu watajifunza Kinyamwezi. Na wako je?" "La, wao hawatajifunza."
"Will you go to the market with Juma?" "No, I shall go alone."
"Utakwenda sokoni na Juma?" "La. Nitakwenda peke yangu."
"Will Juma go to the market with Hasani?" "No, he will go alone."
"Juma atakwenda sokoni na Hasani?" "La. Atakwenda peke yake."
"Will the children stay at home with their mother?" "No, they will stay alone."
"Watoto watakaa nyumbani na mama yao?" "La. Watakaa peke yao."
"Will the porters come with their master?" "No, they will come alone."
"Wachukuzi watakuja na bwana wao?" "La. Watakuja peke yao."
"Do you want this orange?" "No, I don't want any orange at all."
"Wataka chungwa hili?" "Hapana, sitaki chungwa lo lote."
The boy is eating bread.
Mvulana anakula mkate.
He comes from Genoa.
Anatoka Genova.
He comes from Geneva.
Anatoka Geneva.
Fight for your right.
Kupigana kwa haki yako.
Magdalena and Ania are good friends.
Magdalena na Ania ni marafiki wazuri
The cat is eating.
Paka anakula.
If I had known, I would not have come.
Kama ningejua, nisingekuja.
Could you say that again?
Utaweza kurudia ulichosema?
Do you know this song?
Je, unajua wimbo huu?
You're pretty.
Wewe ni mzuri.
My name is John.
Jina langu ni John.
That's a tree.
Ule ni mti.
See you tomorrow!
Tutaonana kesho!
I'm not an idiot.
Mimi si mjinga.
They are not coming today.
Hawaji leo.
I've lost my keys.
Nimepoteza funguo zangu.
Where do you know each other from?
Mnajuana kutoka wapi?
You are a student.
Wewe ni mwanafunzi.
I can't sleep.
Siwezi kulala.
I'm from England.
Natoka Uingereza.
He comes from Wales.
Anatoka Welisi.
I came yesterday.
Nilikuja jana.
I look forward to it.
Natazamia.
Where are we now?
Tuko wapi sasa?
Listen.
Sikiliza.
I want to go.
Nataka kwenda.
They're bad.
Wao ni wabaya.
I come from America.
Ninatoka Amerika.
They're children.
Wao ni watoto.
I can walk.
Ninaweza kutembea.
I'll save you.
Nitakuokoa.
I didn't take anything.
Sikuchukua chochote.
I come from Boston.
Ninatoka Boston.
Do you want my heart between your teeth?
Unataka moyo wangu kati ya meno yako?
Is your mum at home?
Mamako yupo nyumbani?
I know it was strange.
Ninajua kuwa alikuwa wa ajabu.
I must tell you something.
Yanipasa kukuambia kitu.
I have a cat.
Nina paka.
I have two cats.
Nina paka wawili.
Do not drink the water in the dirty glass!
Usinywe maji yaliyo bilaurini!
A promise is a debt.
Ahadi ni deni.
I ate the meat.
Nilikula nyama.
I'm not a doctor.
Mimi si daktari.
I'm a woman.
Mimi ni mwanamke.
Children are the flowers of our lives.
Watoto ni maua ya maisha yetu.