Jeshi la Congo limegundua ‘kiwanda cha kutengeneza mabomu ya kienyeji’ katika kambi moja ya ADF wali... Jeshi la Congo limegundua ‘kiwanda cha kutengeneza mabomu ya kienyeji’ katika kambi moja ya ADF waliyoiteka , msemaji wa jeshi jenerali Leon Richard Kasonga amesema Jumatano .