import gradio as gr model="huggingface/innocent-charles/Swahili-question-answer-latest-cased" context = "Asubuhi hiyo ilitupata pambajioni pa hospitali ya Uguzwa. Kando yangu ndugu yangu Pendo alikuwa akijipindapinda kwa uchungu mwingi. Aidha, alikuwa akitetemeka sana. Nilimshikilia asije akaanguka chini. Nilijizuia nisimtazame maadamu kila nilipomtaza machozi yalinidondoka. Nakwambia Pendo alikuwa amedhoofika sana. Maradhi hayo ya kifo yalikuwa yamemdhilisha akabaki gofu la mtu. Alikuwa kakonda ghaya ya kukonda akabaki fremu. Nilitokwa na milizamu ya machozi kwa huruma. Nilihisi kama kwamba mimi ndimi nilikuwa nikiugua. Ama kwa hakika damu ni nzito kuliko maji.Siku hiyo mimi na ndugu yangu tuliratibiwa kufanyiwa upasuaji. Maadami figo zake zote zilikuwa zimeharibika, ningempa figo yangu moja kulingana na ripoti ya madaktari. Hiyo ndiyo ingekuwa njia ya pekee ya kusaidia la sivyo angetuacha. Mimi na yeye tulikuwa ndugu wa toka nitoke. Tulipendana mithili ya pete na kidole. Mintaarafu na hayo, nilikuwa nimejitolea mhanga kumpa ndugu yangu figo yangu.Tukiwa tungali tumeketi, nilitoa simu yangu na kuanza kusakurasakura mitandaoni kuhusu ufadhili wa figo; hasara na manufaa yake. Yale niliyoyaona yaliniatua moyo pakubwa. Ilisemekana kuwa ilikuwa muhali kwa mtu mwenye figo moja kuishi kwa zaidi ya miaka ishirini. Mwili wangu mzima uliota vimbimbi kwa woga. Nilihofia kuwa huenda nisingefikisha umri wa miaka umri wa miaka thelathini na mitano. Moyo ulikuwa ukipigapiga mithili ya nyundo ya mhunzi kwenye fuawe.Kwa upande mwingine nilimtupia jicho ndugu yangu aliyekuwa hajifai kwa maumivu. Nilimhurumia sana. Aidha, nilikumbuka msemo kuwa mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe. Huo ndio ulikuwa wasaa wangu wa kuudhihirisha udugu wangu. Nisingemfaa wakati wa dhiki nisingekuwa rafiki shakiki. Vilevile nilikumbuka kuwa udugu ni kufaana wala si kufanana. Ijapokuwa tulikuwa maziwa na tui sikuwa na budi kumfaa.Ndugu, jamaa na marafiki walitujia kutujulia hali na kututakia kila la heri. Nilituhumu kuwa pengine baadhi yao walikuja kutuona kwa mara ya mwisho. ' Msalie mtume. Mbona niyapitie haya? Ya nini nife nikiwa mchanga hivi hata ubwabwa haujanitoka shingoni? Hayo na mengine mengi yalikuwa tu baadhi ya maswali ya balagha yaliyonipitia akilini.Ghafla wazo likanijia akilini,Ama nijifanye kuwa naenda pembeni kisha mimi huyoonitoroke Hata hivyo nilikumbuka jinsi ndugu yangu alivyojiabilia kwangu. Nilitanabahi jinsi alivyoniuguza nilipokuwa nimeumia mkono. Nisingependa kuwa punda nilipe asante kwa mateke. Liwe liwalo lije lijalo nilikata shauri kumpa figoyangu moja. Halikadhalika, kudhihirisha mapenzi ya dhati ningewaambia madaktari waitoe figo ya upande wa kulia;upande wa moyo.Hayawi hayawi hatimaye huwa. Zamu yetu iliwadia. Tuliingizwa katika chumba cha pili. Huko tuliagizwa kuvaa mavazi rasmi ya hospitalini. Nilihisi kama kwamba mavazi hayo yalikuwa ni sanda lililobaki lilikuwa kutiwa ndani ya jeneza. Baada ya kupimwa kwa stethoskopu, tulipatiwa fomu fulani tulizofaa kuzisoma. Fomu yenyewe ilikuwa na maandishi mzengi madogo. Macho yangu yalitua kwenye nambari 6B: IWAPO KWA SABABU YOYOTE ILE UTAAGA DUNIA, HUTAMLAUMU YEYOTE! Nusura moyo wangu ukome kwa ajili ya mshtuko.Nilitetemeka mkono sana nilipokuwa nikitia sahihi ya kuthibitisha kuwa nilikuwa tayari kwa lolote lile. Tulilazwa kwenye machela na madaktari wakatuzingira. Mmoja aliongoza maombi mafupi.Baadaye tulidungwa sindano za kufisha ganzi- nusukaputi na operesheni ikaanza. Nilipoteza fahamu. Nilipozinduka nilikuwa kwenye wodi. Niliuteremsha mkono na kwa tahadhari nikapapasapapasa mwili ili nihisi pale nilipokatwa. Sikuhisi chochote! Nilikuwa katika hali ya kimako muuguzi mmoja aliponijia,Una bahati ya mtende. Hukufanyiwa operesheni. Madaktari walipata njia nyingine ya kumtibu ndugu yako" question = "Asubuhi ilitupata pambajioi pa hospitali gani?" samples = [ ["Kuzaliwa mwanamke ni laana katika ulimwengu huu uliotawalwa na wanaume. Wao huteswa na kunyanyaswa bila ya masilahi yao kutiliwa maanani. Huu ni ubinafsi na ubinafsi huvunja jamii. ", "ulimwengu huu umetawalwa na nani?"], ["Chambilecho, wahenga hawakutuvisha soksi za chuma walipolonga kuwa ajali haijali. Ajali haitaki kujua kama kuna rais wala fukara. Wote ni sawa kwa ajali. Aidha ajali haina kinga.Siku wahedi, wavyele wetu walirudi nyumbani nyuso zao zikimwekamweka kwa furaha. Kwa sababu tulitaka kujua mbona walikuwa wamejawa na furaha riboribo, tuliwauliza. Walitueleza kwamba siku iliyokuwa inafuata tungemtembelea mbiomba wetu.Usiku huo, tulilala usingizi wa mang'amung'amu kutokana na habari tulizopata. Mwishowe, asubuhi tuliyokuwa tumeingoja kwa hamu na ghamu iliwadia. Tulienda bak bandika bak bandua hadi hamamuni ambamo tulikoga kwa maji vuguvugu.Mwia si mwia tulitoka bafuni na kuelekea vyumbani mwetu. Tulivalia nguo zetu ambazo zilitufanya tuwe warembo kama hurulaini. Rihi ya kiseboho kilinukia na kutufanya tuhisi njaa. Baada ya muda mchache nina aliandika meza na kutupakulia chakula. Chakula kilikuwa kitamu mithili ya asali ya malkia nyuki. Baada ya kula, tulienda garini.Baada ya muda mchache, tuling'oa nanga. Njiani tuliona vitu vingi kama vile mimea, milima na mabonde, majumba makubwa makubwa na vitu vinginevyo. Tulipiga soga kwa furaha tulipokuwa tukielekea kwa halati yetu.Tuliwasili mwendo wa saa sitaza mchana na harufu ya chamcha ilitukaribisha. Tuliubisha mlango kisha halati wetu akaufungua. Alipotuona, alijawa na furaha kama mvuvi aliyekinasa kishazi cha samaki. Alitukumbatia na kutusalimu.Baada ya kutukumbatia, alituelekeza jumbani mwake. Alituletea maji moto ambayo kwayo tuliosha miguu na mikono kisha akaleta chamcha. Baada ya mlo, wavyele wetu walibaki wakipiga gumzo na halati yetu pamoja na mjomba wetu. Sisi tuliondoka kwenda kucheza na binamu wetu.Jua lilianza kutua upande wa kushoto na tulijua kwamba wakati wa kurudi ulikuwa umefika. Halati yetu aliamua kurudi nasi ili siku iliyokuwa inafuatia afike mapema kazini.Tuliingia kwenye gari na kung'oa nanga kuelekea nyumbani.Abu yangu aliendesha gari kwa kasi kwa kuwa giza lilikuwa limeanza kutanda angani. Bila kujua, jigari jeusi lilitokea mbele na alipojaribu kusimamisha gari alishindwa. Nilifumbu macho yangu nisiyaone yaliyotendeka . Nilipofumbua macho, nilijipata katika wadi. Baada ya kuangalia sikumwona halati yangu. Nilimuuliza mhagizi mmoja na alinijibu kwamba alikuwa amepiga dunia teke. Kwa hakika ajali haina kinga.", "Walipiga soga vipi walipokuwa wakienda kwa halati yao?"] ] gr.Interface.load( name=model, theme="default", inputs=[gr.inputs.Textbox(lines=7, default=context, label="Context"), gr.inputs.Textbox(lines=2, default=question, label="Question")], title="Swahili Question Answering App", description="Question Answering App for Swahili Language based on bert-base-multilingual-cased model, fine-tuned using the KenyaCorpus dataset. It's been trained on question-answer pairs, including unanswerable questions, for the task of Question Answering in Swahili Language.", outputs=[gr.outputs.Textbox(label="Answer"),gr.outputs.Textbox(label="Score")]).launch()