20328#0 Dar-Es Salaam ni mji wa nchi gani? 40990#0 Kuna nchi ngapi bara la Asia? 22115#0 Ewaso Nyiro iko kwenye nchi gani? 93801#0 Ni nani rais wa Marekani? 4934#0 Mwezi wa Aprili una siku ngapi? 73196#0 Mtu anayeongea lugha mbili au zaidi huitwaje? 2219#0 Ni nani aliyekuwa wa kwanza kutembea juu ya mwezi? 81501#0 Nchi ya India ina wakazi wangapi? 84408#0 Kuna miezi mingapi katika mwaka? 39828#0 Helikopta ina gurudumu ngapi? 98505#0 Mto Nile huanzia nchi gani? 77867#0 Kuna lugha ngapi nchini Nigeria? 66906#0 Congo DRC ilipata uhuru mwaka gani? 72051#0 Maambukizi ya bakteria hutibiwa na dawa aina gani? 83176#0 Rasi ya Kamchatka iko kwenye nchi gani? 83538#0 Uganda ina wilaya ngapi? 57141#0 Maji huchemka yakifika joto kiwango kipi? 63823#0 Kuna wilaya ngapi kwenye mkoa wa kati nchini Kenya? 101976#0 Mlima Kilimanjaro una urefu wa kilometa ngapi? 88156#0 Mariah Carey alizaliwa tarehe ngapi? 55701#0 Babake Jane Fonda anaitwa nani? 20926#0 Bonde la Ufa liko kwenye nchi gani? 84329#0 Ni nani aliyegundua dawa aina ya penicillin. 75109#0 Lugha ya taifa nchini Gabon ni ipi? 87602#0 Kuna aina ngapi za alfabeti duniani? 102565#0 Mlima wa Kenya uko katika wilaya gani? 56079#0 Reli hutengenezwa kwa kutumia chuma aina gani? 29319#0 Tofauti ya mkoa na wilaya ni ipi? 21913#0 Kampala iko kwenye wilaya gani nchini Uganda? 83984#0 Mji wa Bethlehem uko kwenye nchi gani? 104526#0 Messy ni mchezaji wa soka wa nchi gani? 2487#0 Kalenda ya Iran in miezi mingapi? 76329#0 Nchi ya Mali ilipata uhuru mwaka upi? 78953#0 Chapati zinatoka nchi gani? 5152#0 Shambulio la Hiroshima lilikuwa tarehe ngapi? 28908#0 Ni nchi zipi zinazopakana na Bahari ya Hindi? 27132#0 Kenya ilipata uhuru mwaka upi? 94832#0 Ni milima mingapi iliyo Afrika iliyo na barafu? 33315#0 Kuna vidato vingapi kwenye shule za sekondari nchini Tanzania? 29894#0 Meli kubwa zaidi duniani ina uzito wa kilo ngapi? 95736#0 Ni chama kipi kinacho tawala nchini Ethiopia? 62442#0 Rais wa kwanza wa Tanzania alikuwa nani? 2822#0 Wakoloni waliingia Afrika mwaka gani? 21743#0 Zanzibar ina wakazi wangapi? 3694#0 Ni nchi zipi za Kiafrika zinazotumia Kingereza kama lugha ya taifa? 2400#0 Ni nchi gani iliyo na mito mingi zaidi bara la Asia? 42881#0 Kuku hutaga mayai mangapi kwa siku? 85339#0 Ugonjwa wa SARS ullianza mwaka gani? 101252#0 Babake Yesu alikuwa ni nani? 13455#0 Kalenda ya kichina ina miezi mingapi? 41697#0 Mji wa Kajiador uko kwenye mkoa upi nchini Kenya? 74131#0 Ni lugha gani inayotumiwa na serikali ya Sudan Kusini? 35474#0 Bendi la Backstreet Boys liliundwa mwaka gani? 6240#0 Pokomo ni lugha ya nchi gani? 25282#0 Wafaransa walifika Mali mwaka upi? 37686#0 Denver iko kwenye jimbo lipi? 76526#0 Ni watu wa eneo lipi ambao hufuga ngamia? 6212#0 Ni nchi zipi ambazo hujulikana kama Visiwa vya kariba? 101333#0 Mji wa Mwea uko katika wilaya gani? 63133#0 Kaunda alikuwa rais wa nchi gani? 57455#0 Ngugi Wa Thiongo ni mwandishi wa nchi gani? 83050#0 Isaac Newton alikuwa mwenyeji wa nchi gani? 92276#0 Mtihani wa KCSE nchini Kenya hufanyika mwezi gani? 20199#0 Ngorongoro iko wilaya gani? 57581#0 Bibi yake Musa kwenye biblia alikuwa anaitwa nani? 5762#0 Ni mnyama upi anayeweza kupumua kwenye maji? 12045#0 Mji wa Morogoro uko katika wilaya gani? 103387#0 Mji wa Lokichogio uko wilaya gani? 94116#0 Wakristo huamini biblia ina vitabu vingapi? 91273#0 Ndovu ana kilo ngapi? 26342#0 Mto wa Mbu uko kwenye wilaya gani nchini Tanzania? 89690#0 Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa wa chama kipi? 92199#0 Ni mto upi huishia ziwa Victoria? 99578#0 Bahari ya Hindi ina upana wa kilometa ngapi? 17366#0 Bad Boy entertainment ilianzishwa na nani? 11788#0 Lugha ya taifa ya Yugoslavia hutumia alfabeti aina gani? 97392#0 Msanii Diamond Platinumz ana vijana wangapi? 42179#0 Mji mkuu wa jimbo la Louisiana umekana ni miji ipi? 33985#0 Chuo kikuu cha Kenyatta kilianzishwa mwaka gani? 85164#0 Ni mji upi Afrika hupokea watalii wengi zaidi? 75227#0 Dini ya Katoliki ina watakatifu wangapi? 62099#0 Lugha za Kibantu zilianza nchi gani? 87659#0 Tano huandikwaje kwa tarakimu za Kirumi? 61799#0 Ni lugha ipi ambayo ni rahisi zaidi kusoma? 62709#0 Ni lugha ngapi za Kihindi ambazo zimetoweka? 11590#0 Papa wa kwanza kutoka Ujerumani alikuwa nani? 33791#0 Mwanahabari Jeff Koinange ameajiriwa na kampuni gani? 55354#0 Ugonjwa wa UKIMWI uligunduliwa mara ya kwanza nchi gani? 70208#0 Shule za Afrika kaskazini hufundisha lugha zipi? 93205#0 Filamu za nchi ya Tanzania hutafsiriwa kwa lugha ngapi? 86812#0 Ni lugha zipi hufundishwa shule za msingi nchini Togo? 56749#0 Bwana yake Miriam Makeba alikuwa nani? 17073#0 Kuna miungu mingapi katika mitholojia? 20262#0 Majina yote ya Rais wa Marekani ni gani? 64840#0 Mipaka ya leo ya nchi za bara la Afrkika iliamuliwa mwaka gani? 57936#0 Nchi ya Benin imepakana na nchi gani upande wa kaskazini? 102074#0 Ni mto upi una upana zaidi duniani? 99382#0 Patrice Lumumba alikuwa wa chama kipi? 77383#0 Daraja ya mji wa San Francisco ilijengwa mwaka gani? 96270#0 Kampuni ya Microsoft ilianzishwa na kina nani? 22092#0 Zanzibar ni mji mkuu wa wilaya gani? 3512#0 Bendera ya Kenya ina mistari mingapi? 12765#0 Kaizari wa kwanza wa Roma alikuwa nani? 64868#0 Shaba huchimbwa eneo lipi bara la Afrika? 55186#0 Dawa ya Malaria ina kemikali ngapi? 20263#0 Wilaya ya Monduli ina eneo kiwango kipi? 65079#0 Nyimbo za lugha ya Lingala husikizwa katika nchi ngapi duniani? 75042#0 Lugha ya taifa ya Singapore huzungumzwa na watu wangapi kama lugha ya pili? 84077#0 Nchi ya Italia iko eneo lipi duniani? 13825#0 Herufi ya pili ya alfabeti ya Kigiriki ni gani? 21323#0 Wilaya ndogo zaidi Tanzania ni ipi? 36906#0 Filamu ya kwanza ilitengenezwa mwaka gani? 88881#0 Mabati hutengenezwa na chuma gani? 82731#0 Mkoa wa Kati Kenya una lugha ngapi rasmi? 85143#0 Kilo moja ina gramu ngapi? 93724#0 Albamu ya kwanza ya Boyz II Men ilikuwa gani? 102660#0 Televisheni ya kwanza ilionyesha rangi ngapi? 29692#0 Maji huchemka yakifikisha joto kiwango kipi? 16794#0 Kifaru ana meno ngapi? 34586#0 Mwanariadha Kipchoge Keino alizaliwa kijiji kipi? 65067#0 Dini yenye wafuasi wengi zaidi nchini Tibet ni gani? 22756#0 Wilaya ya Nova Scotia Kanada ina uhusiano upi na nchi ya Scotland? 4031#0 Kitabu cha Agano Jipya huwa na vitabu ngapi? 75105#0 Nyimbo za Bob Marley ziliimbwa kwa lugha gani? 11796#0 Mwimbaji Saida Karoli huimba nyimbo zake kwa lugha gani? 72546#0 Yesu aligeuza maji kuwa divai mji upi? 24013#0 Che Guevara aliuawa akiwa mji upi? 56938#0 Mwandishi Ngugi Wa Thiong’o alirudi Kenya mwaka gani? 31569#0 Mwimbaji R. Kelly alihukumiwa kosa lipi? 67977#0 Ni dini gani huwaruhusu wanaume kuoa bibi wawili au zaidi? 71366#0 Nchi ya Eritrea ina wakazi wangapi wa kabila ya Kitigre? 19456#0 Nchi ya Tanzania inaongozwa na rais wa chama kipi? 41607#0 Timu ya soka ya Bayern Munich iliishinda timu ya Arsenal tarehe ngapi? 18792#0 Kundi la wanyama lenye huishi kwa maji pekee ni lipi? 101628#0 Almasi hupatikani mita ngapi chini ya ardhi? 71153#0 Kuna aina ngapi za michezo ya riadha? 105155#0 Nyangumi huzaa watoto wangapi maishani? 105833#0 Ni mimea ipi hukuzwa mji wa Marsabit? 96913#0 Wanasayansi husema ni nini sababisho la saratani ya matiti? 78669#0 Mji wenye mvua mingi zaidi duniani ni upi? 29459#0 Bahari ya Pasifiki ina upana wa kilomita elfu ngapi? 32470#0 Safari rally ilianza nchi gani? 84188#0 Kuna miji mingapi inayoitwa Majengo Afrika kusini? 1182#0 Jina la Abraham kwa Qurani ni lipi? 64931#0 Busia ya Kenya iko umbali wa kilomita ngapi kutoka Busia ya Uganda? 63236#0 Kuna nchi ngapi zenye watu wanaozungumza Kiacholi kama lugha ya tatu? 67855#0 Nchi ya Mali imebadilisha jina mara ngapi? 29456#0 Wilaya ya Kaskazini Kenya hupata mvua siku ngapi mwezi wa desemba? 65724#0 Tofauti ya DRC na Congo-Brazzaville ni ipi? 88512#0 Ni nchi ngapi bara la Afrika zilipata uhuru baada ya mwaka wa 1970? 66434#0 Christopher Columbus alianza safari yake mwaka gani? 103749#0 Mwigizaji Tony Garcia alikuwa kwenye filamu zipi? 28877#0 Kwenye biblia mtoto wa kwanza wa kiume wa Abraham alikuwa nani? 79085#0 Mapinduzi nchini Ufaransa yalifanyika mwaka gani? 103966#0 Ni mawe ya aina gani hutumiwa kujenga nyumba? 87798#0 Programu ya Windows imekuwa na mabadiliko mangapi? 83453#0 Jina Tanganyika lilitumiwa hadi mwaka gani? 18867#0 Maji ya bara Hindi yana chumvi asilimia ngapi? 5585#0 Mwaka wa 1980 ulikuwa karne gani? 74464#0 Mwezi ulio na baridi zaidi mkoa wa Pwani Kenya ni upi? 76317#0 Familia inayotawala nchini Korea kaskazini ni ipi? 74504#0 Mlima Kilimanjaro uko katika kijiji kipi? 20101#0 Masomo ya msingi nchini Tanzania ni ya miaka mingapi? 81205#0 Seri zinazofanya damu kuwa nyekundu huitwaje? 78205#0 Chuo kikuu cha Dar es Salaam hufundisha lugha zipi? 6569#0 Wakoloni waliingia mara ya kwanza bara la Afrika kwa kupitia nchi gani? 84486#0 Karl Marx anajulikana kwa kitendo kipi? 70148#0 Kuna aina ngapi za tuzo la Emmy? 98774#0 Mito inayokauka kila mwaka huitwaje? 13792#0 Madini ya yakuti hupatikana nchi zipi? 3425#0 Upinde wa mvua una rangi kapi? 69962#0 Ni Wakenya wangapi wameshinda mbio za Boston? 61614#0 Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania vilianza mwaka gani? 70420#0 Kuna tofauti gani kati ya mila ya Wamaasai wa Kenya na wa Tanzania? 83625#0 Jina la kuzaliwa la mwimbaji Lil Jon ni lipi? 67903#0 Wilaya ya Bonde la ufa Kenya iligawanywa kaunti ngapi? 5850#0 Paa la mabati hukaa miaka mingapi kabla ya kuhitaji kubadilishwa? 78865#0 Lugha ya kiitaliano imakaribiana zaidi na lugha gani nyingine? 89056#0 Ni mkoa upi Kanada una baridi zaidi? 16321#0 Mji mkuu wa nchi ya Ufaransa ni upi? 78774#0 Jina lingine la Burma ni lipi? 7972#0 Vita vya Afghanistan vilianza mwaka gani? 85383#0 Mwaka wa 1789 unajulikana kwa sababu ya tukio lipi? 38605#0 Rosa Parks alishtakiwa kosa lipi? 66480#0 Namibia ilipata uhuru kutoka Afrika kusini mwaka gani? 22547#0 Jina lingine la Wasukuma ni lipi? 93584#0 Darubini inatuwezesha kuona umbali wa maili ngapi nje ya hewa ya dunia? 90410#0 Mwanasiasa Kalonzo Musyoka yuko chama gani? 30501#0 Kuna wakimbizi wangapi Israel kutoka Ethiopia? 13736#0 Pierce Brosnan imeigiza filamu ngapi za James Bond? 107576#0 Ni sayari ziipi ndogo kuliko dunia? 14974#0 Mwigizaji Wesley Snipes anajulikana kwa filamu gani? 95926#0 Pesa ya Ujerumani inaitwaje? 4651#0 Mwezi wa kwanza una siku ngapi? 37564#0 Ni nini huyafanya maji ya bahari yapate chumvi? 69051#0 Shaka Zulu alizaliwa mwaka gani? 64947#0 Maneno yaliyo na maana zaidi ya moja huitwaje? 43036#0 Mji wa Hong Kong uko nchi gani? 88721#0 Otto Von Bismark alikuwa raiya wa nchi gani? 39657#0 Mji wa Sacramento una wakazi wangapi? 47239#0 Umoja wa Falme za Kiarabu una nchi ngapi? 18732#0 Rais wa Marekani Joe Biden ana miaka mingapi? 12548#0 Kanisa ya waprotestanti ilianzishwa na nani? 74797#0 Mafuriko ya El Nino yalitokea mwaka gani? 107547#0 Upinde wa mvua una rangi ngapi? 84522#0 Ni nini hufanya damu iwe nyekundu? 21108#0 Wakimbizi wa Ethiopia hukimbilia nchi gani? 28643#0 Ni mimea ipi hukuzwa karibu na mto Nile? 68180#0 Ni nchi gani Afrika iliyotawaliwa na wajerumani enzi za ukoloni? 42961#0 Makao makuu ya Umoja wa Ulaya yako wapi? 103404#0 Mto wa Nzoia una urefu wa kilometa ngapi? 31640#0 Mto wa Arkansas una wakazi wangapi? 21257#0 Nchi ya Chad ilipata uhuru mwaka gani? 30774#0 Chama cha Mapinduzi Tanzania kilianzishwa na nani? 96104#0 Dini ya Kiislamu ilianzishwa mwaka gani? 65085#0 Ni mimea ipi inayokuzwa nchini Niger? 74734#0 Ni lugha gani ambayo ni ngumu zaidi kuandika? 67914#0 Kuna nchi ngapi bara la Asia? 65626#0 Mwimbaji Bob Marley alikuwa na watoto wangapi? 98626#0 Ni mto upi unaopita Kenya na Tanzania? 29532#0 Anatolia iko kwenye bara gani? 96642#0 Muziki wa Jazz ulianza mji upi? 104668#0 Bendi ya Them Mushrooms ilianzishwa mwaka gani? 2687#0 Tom Mboya alifariki akiwa na miaka mingapi? 41800#0 Nchi ya Yugoslavia ina mikoa mingapi? 21446#0 Mji mkubwa zaidi mkoa wa Nyanza ni upi? 76551#0 Lugha inayotumika zaidi duniani ni ipi? 90421#0 Chama cha KANU nchini Kenya kilianzishwa na nani? 42443#0 Ni nchi gani ambayo imeadhiriwa zaidi na mmomonyoko wa udongo? 40384#0 Vita vya kwanza vya dunia vilianza mwaka gani? 84167#0 Eneo la Kibera Kenyaliko kwenye mji upi? 68059#0 Ni nchi gani iliyo na wakazi wengi zaidi duniani? 20995#0 Wakazi wa mkoa wa Nyanza Kenya huongea lugha gani? 75123#0 Ni lugha zipi ambazo zinakaribiana zaidi na Kiswahili? 21137#0 Ni nchi ngapi za kiafrika hutumia kifaransa kama lugha ya taifa? 18085#0 Mji mkuu wa Somalia unaitwaje? 90962#0 Kamusi kubwa zaidi ya Kiswahili ina maneno mangapi? 67015#0 Bara la Afrika lina nchi ngapi? 89808#0 Umri wa kupiga kura Uganda ni miaka mingapi? 14083#0 Femi Kuti alianza kurekodi akiwa na miaka mingapi? 21179#0 Ni barabara ngapi zinazopita mji wa Kisumu Kenya? 13661#0 Kamusi ya kwanza ya kiswahili ilichapishwa mwaka gani? 33831#0 Mji wa Kakamega uko wilaya gani? 104531#0 Mchezaji Ronaldinho ana miaka mingapi? 20928#0 Wimbo wa kwanza wa Diamond Platinumz ni upi? 19100#0 Ni nchi zipi zinazopakana na Burundi? 101873#0 Kuna idadi gani ya waislamu nchini Kenya? 12518#0 Papa huchaguliwa na kina nani? 61796#0 Koffi Olomide ana miaka mingapi? 69389#0 Robin Williams alifariki mwaka gani? 62660#0 Kuna aina ngapi sa Kiswahili duniani? 89650#0 Ni chama kipi kinacho tawala Afrika Kusini? 74679#0 Mende huishi miezi mingapi? 66486#0 Mapigano ya nchi ya Vietnam yalikaa miaka mingapi? 21726#0 Jangwa la Sahara liko nchi gani? 64500#0 Ghana ina mikoa mingapi? 2251#0 BBC ilianzishwa mwaka gani? 85245#0 Timu ya mpira wa mikono ina wachezaji wangapi? 30244#0 Muziki wa hip hop ulianza kuenea mwaka gani? 56893#0 Julio Inglesias ana uhusiano upi na Enrique Inglesias? 68273#0 Mfalme wa mwisho uingereza alikuwa nani? 95295#0 Mkoa wa Quebec una lugha ngapi rasmi? 40060#0 Mama yake Tupac Shakur ana miaka mingapi? 81975#0 Kuna aina ngapi ya magonjwa ya damu? 83995#0 Mji wa Lira una wakazi wangapi? 77769#0 Jangwa kubwa zaidi Afrika liko nchi gani? 75021#0 Kuna nchi ngapi za kiarabu duniani? 78794#0 Lesotho inapakana na nchi zipi? 16774#0 Jengo refu zaidi duniani lina gorofa ngapi? 84123#0 Dubai ina wakazi wangapi? 57422#0 Mlima mrefu zaidi Uganda una urefu wa kilometa ngapi? 74738#0 Ni mto upi mrefu zaidi duniani? 43088#0 Utumwa ulianza mwaka gani Marekani? 4771#0 Karne ina miaka mingapi? 19835#0 Mji wa Kigoma uko karibu na ziwa lipi? 5751#0 Rais Roosevelt alitawala miaka mingapi? 98761#0 Ziwa la Edward liko nchi gani? 102878#0 Muziki wa Blues ulianza mji upi? 103954#0 Ziwa la Nakuru Kenya huuishia wapi? 6328#0 Watu wa Mara Tanzania huongea lugha gani? 78372#0 Lugha ya taifa ya Burundi ni ipi? 2812#0 Mji wa Mwanza uko karibu na ziwa lipi? 47241#0 Wilaya ya Bagamoyo iko eneo lipi Tanzania? 83382#0 Mto Bubu Tanzania uko wilaya gani? 76787#0 Lugha ya Banda inapatikana nchi gani? 85306#0 Lugha ya taifa ya Burkina Faso ni gani? 3846#0 Bendera ya Tanzania ina rangi ngapi? 28859#0 Wilaya ya Bukoba Tanzania iko mkoa upi? 95121#0 Rais wa Cameroon ni nani? 78307#0 Wilaya ya Chake ina wakazi wangapi? 28875#0 Wilaya ya Biharamulo iko mkoa upi? 24300#0 Moshi ni mji mkuu wa mtoa upi? 98287#0 Mto Ipera unaanzia wapi? 68015#0 Mji wa Igunga uko mkoa upi? 81157#0 Mdinka ni lugha ya nchi gani? 33642#0 Mpanda ni mji mkuu wa mkoa upi? 66669#0 Lugha ya taifa ya Ghana ni gani? 57488#0 Nchi ya MAdagascar ina lugha ngapi rasmi? 9927#0 Ni nchi gani hutumia Kingereza na Kiswahili kama lugha za taifa? 34950#0 Timu ya soka ya Tanzania hufanya mazoezi uwanja upi? 42024#0 Wilaya ya Geita iko mkoa upi? 3723#0 Tai hutaga mayai mangapi kwa mwaka? 29580#0 Wilaya ya Handeni iko mkoa upi? 37203#0 Wilaya ya Ilala ina wakazi wangapi? 26117#0 Mji wa Wete Tanzania uko mkoa upi? 96012#0 Askofu mkuu wa Nyeri Kenya ni nani? 29430#0 Mji wa Zanzibar uko mkoa gani? 70412#0 Mozambique ilipata uhuru mwaka gani? 72199#0 Lugha ya Kikuyu inasemwa na watu wangapi? 64311#0 Lugha ya Wolof iko nchi gani? 63129#0 Lugha ya Shona iko katika nchi ngapi? 66952#0 Kibaha ni mji mkuu wa eneo lipi Tanzania? 20155#0 Mji mkuu wa Manyara ni upi? 38778#0 Mji wa Chake-Chake Tanzania uko eneo lipi? 30097#0 Arnold Shwaznegger alihamia Marekani mwaka gani? 62901#0 Lugha ya Bemba iko nchi gani? 92634#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Wolof? 102097#0 Mto Flint uko jimbo lipi Marekani? 4652#0 Tarehe 4 mwezi Aprili ni siku ya ngapi ya mwaka? 67391#0 Mji wa Eldoret Kenya uko mkoa upi? 78667#0 Mji wa Garissa una kata ngapi? 65654#0 Lugha ya Fang huzungumzwa nchi gani? 29859#0 Mji wa Marsabit Kenya uko wilaya gani? 20156#0 Mji wa Moyale Kenya uko mkoa gani? 47298#0 Mji wa Bungoma uko wilaya gani? 15028#0 Kampuni ya kuigiza ya Pixar ilianzishwa mwaka gani? 108659#0 Waroma walivamia Uingereza mwaka gani? 82529#0 Ugonjwa wa kisonono husababishwa na nini? 19640#0 Babati ni mji mkuu wa wilaya gani Tanzania? 55417#0 Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa mwaka gani? 69971#0 Mji wa Kitui uko mkoa upi? 41062#0 Ni akina nani walijulikana kama Kapenguri Six nchini Kenya? 8752#0 Mji mkuu wa Israel ni upi? 33886#0 Mwimbaji Ja Rule ana miaka mingapi? 68070#0 Wilaya ya Mwanga Tanzania ina wakazi wangapi? 107231#0 David Beckham ana watoto wangapi? 83917#0 Mwimbaji Mr. Blue wa Tanzania ana miaka mingapi? 33102#0 Mji wa Koani Tanzania uko mkoa upi? 104634#0 Mji wa Vwawa una kata ngapi? 29863#0 Mji wa Songea una wakazi wangapi? 21991#0 Mji wa Tabora una kata ngapi? 4793#0 Tarehe 1 ya mwezi wa januari ni sikukuu gani? 87121#0 Marekani imekuwa na rais wangapi? 27147#0 Wilaya ya Karatu iko mkoa upi? 34458#0 Filamu ya La vie est belle ilitengenezwa mwaka gani? 4823#0 Kuna wiki ngapi kwa mwezi? 71737#0 Jina la kiswahili la United Nations ni lipi? 103455#0 Mto Lukwika unapatikana wapi? 22144#0 Mji wa Songea uko mkoa upi? 103408#0 Facebook ilianzishwa na nani? 78216#0 Nchi ya Gabon in lugha ngapi rasmi? 29281#0 Mji wa Moshi uko mkoa upi? 67836#0 Wilaya ya Bukobe iko mkoa upi? 10445#0 Mji wa Ottawa Kanada una wakazi wangapi? 95321#0 Saa moja ina sekunde ngapi? 22572#0 Wilaya ya Kahama ina wakazi wangapi? 104121#0 Mto wa Deho uko mkoa upi? 80988#0 Lugha ya Kiafrikaans ni ya nchi gani? 16603#0 Mji mkuu wa mkoa wa Quebec ni upi? 78057#0 Kihindi ni lugha ya taifa ya nchi ngapi? 73694#0 Kiingereza ni lugha ya taifa ya nchi ngapi? 62925#0 Lugha ya Kikhwe huzungumzwa nchi gani? 74072#0 Ni watu wangapi huzungumza lugha ya Kizulu? 29614#0 Wilaya ya Mafia Tanzania ina kata ngapi? 25979#0 Nchi ya Japan ina mikoa mingapi? 26476#0 Wilaya ya Kyela ina wakazi wangapi? 65743#0 Lugha ya Kiswati ni ya nchi gani? 100236#0 Mto Kiseru uko mkoa upi? 35829#0 Ni nchi gani ilishinda kikombe cha FIFA mwaka 2018? 62548#0 Lugha ya taifa ya Lesotho ni gani? 61443#0 Kixegwi ni lugha ya nchi gani? 43050#0 Mji wa Koani uko mkoa upi? 17051#0 Mwandishi Victor Hugo alizaliwa tarehe ngapi? 98464#0 Ziwa Kitangiri liko wilaya gani? 91711#0 Ziwa Jipe liko mkoa upi? 99620#0 Mto wa Ewaso Nyiro uko mkoa upi? 68028#0 Mji wa Lamu una vijiji vingapi? 3760#0 Bendera ya Honduras ina rangi ngapi? 29645#0 Mji wa Chalinze uko wilaya gani? 29405#0 Wilaya ya Bagamoyo ina wakazi wangapi? 28545#0 Pesa ya Dubai huitwaje? 20801#0 Shelui ni mji mkuu wa wilaya gani? 26194#0 Ushirombo ni mji mkuu wa wilaya gani? 17435#0 Mji mkuu wa Igunga ni upi? 76362#0 Lugha ya taifa ya Ukraini ni gani? 32028#0 Mmea wa mahindi huzaa baada ya miezi mingapi? 82676#0 Maria Magdalena alikuwa na uhusiano upi na Yesu? 75370#0 Mvinyo hutengenezwa kwa kutumia viungo vipi? 96362#0 Kambi kubwa zaidi la wakimbizi Kenya ni lipi? 65705#0 Lugha ya Banda ni ya nchi gani? 29911#0 Kalangala ni mji mkuu wa wilaya gani? 78562#0 Ganana ni mji mkuu wa wilaya gani? 29512#0 Mji wa Hai una wakazi wangapi? 91615#0 Sikukuu ya pasaka husherehekewa siku gani? 33766#0 Soko kubwa zaidi mjini Nairobi ni lipi? 99389#0 Mto Patuca uko nchi gani? 96117#0 Yesu alikuwa na wafuasi wangapi? 40935#0 Chanika ni mji mkuu wa wilaya gani? 73954#0 Lugha ya Tigre iko katika nchi ngapi? 90077#0 Mwanasiasa Tom Mboya wa Kenya aliuawa tarehe ngapi? 17169#0 Agano jipya kwenye biblia ina vitabu vingapi? 30365#0 Bibi ya David Beckham ni nani? 18824#0 Ni paka yupi mkubwa zaidi jangwani? 79261#0 Lugha ya taifa ya Libya ni gani? 24431#0 Mji wa Vihiga una wakazi wangapi? 19702#0 Mji wa Ushirombo uko mkoa upi? 88559#0 Mtoto wa kwanza wa Ibrahimu katika biblia alikuwa nani? 77289#0 Nchi ya Urusi hufuata uongozi wa aina gani? 67727#0 Mji wa Namanga una wakazi wangapi? 78904#0 Wilaya ya Igunga ina wakazi wangapi? 66885#0 Lugha ya Afar ni ya nchi gani? 77133#0 Lugha ya Kinama ni ya nchi gani? 14318#0 Muigizaji John Travolta ana miaka mingapi? 17673#0 Mwigizaji Leonardo Di Caprio ana miaka mingapi? 22764#0 Mji wa Babati Tanzania una wakazi wangapi? 89001#0 Rais wa Uchina ni nani? 20218#0 Igunga ni mji mkuu wa wilaya gani? 65627#0 Michael Douglas ana miaka mingapi? 33123#0 Mji wa Calgary Kanada una wakazi wangapi? 62636#0 Lugha ya Kikuyu iko katika familia gani? 29920#0 Akeri ni mji mkuu wa wilaya gani? 63813#0 Kuna wilaya ngapi zinazoitwa Bukoba? 64610#0 Lugha ya Bambara ni ya nchi gani? 79541#0 Wilaya ya Kilifi ina wakazi wangapi? 35262#0 Siku 12 za krisimasi huanza tarehe ngapi? 67267#0 Lugha ya Berber hupatikana nchi gani Afrika? 40882#0 Meli kubwa zaidi duniani ni ipi? 94380#0 Nyoka aliye na sumu kali zaidi ni yupi? 93183#0 Nyota iliyo karibu zaidi na dunia ni ipi? 29582#0 Shelui ni mji mkuu wa wilaya gani? 36018#0 Nchi ya Nigeria ina jimbo ngapi? 74152#0 Lugha inayozungumzwa na watu wengi zaidi Nigeria ni gani? 31267#0 Yesu alizaliwa mji upi? 81586#0 Musa katika biblia alizungumza lugha gani? 9725#0 Mji mkuu wa jimbo la Florida ni upi? 22622#0 Mji mkuu wa Igunga ni upi? 83190#0 Nchi ya Malawi ilipata uhuru mwaka gani? 14598#0 Mraba una pande ngapi? 12036#0 Marekani ina jimbo ngapi? 38810#0 Mji wa Denver una wakazi wangapi? 90891#0 Mji wa Brownsville Marekani uko jimbo lipi? 16994#0 Moliere alikuwa na bibi wangapi? 45110#0 Mji wa Miami una wakazi wangapi? 6203#0 Nchi ya Comoros ina viziwa ngapi? 7115#0 Jimbo la Texas lina wakazi wangapi? 22018#0 Mji wa Bukoba hutawalwa na nani? 19530#0 Mkoa wa Lindi una miji miingapi? 28566#0 Wilaya ya Geita ina wakazi wangapi? 74741#0 Nchi ya Sudan ina lugha ngapi? 86748#0 Nchi ya Gambia hufanya uchaguzi baada ya miaka mingapi? 18481#0 Kamusi kubwa zaidi ya Kiingereza ina maneno mangapi? 27540#0 Quincy Jones alisomea shule gani? 74518#0 Jina la Kiswahili la kangaroo ni lipi? 86186#0 Vitabu vya manga vilianza kuchapishwa wakati upi? 89840#0 Maji yana atomu ngapi? 65825#0 Watu wanaozungumza Kiswahili huelewa idadi gani ya maneno ya Kiarabu? 21246#0 Wilaya zinazopakana na Bara Hindi ni zipi? 88708#0 Kisu kikali zaidi hutengenezwa kwa kutumia chuma aina gani? 37278#0 Ni mmea upi unaokua zaidi jangwani? 31556#0 Tupac Shakur aliuawa kwa njia gani? 89184#0 LV ni namba gani kwa herufi za kawaida? 66473#0 Vita vya Vietnam viliyahusisha mataifa mangapi? 35851#0 Mwanariadha Paul Tergat alishinda medali yake ya kwanza mwaka gani? 77128#0 Ni kikundi kipi husimamia uandishi wa kamusi za kiswahili? 89888#0 Ni nini hutumiwa kupanga lugha kwa vikundi?